Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
mimi naomba unipe pole mama.Ndio natoka uvunguni saa hizi.Madrid walipopata penati nilizima tv.nikasikia watu wanashangilia huko nje,nikavaa headphone.dogo akawa anakuja chumbani kugonga mlango anipe updates,nikaingia chini ya uvungu na kutulia huko na saa yangu nikisubiri saa tano na dk 40.Ndio natoka sasa.Nimeambiwa tumeingia final ndio presha imenipanda kabisa.Sijui ushabiki gani huu nashindwa kutazama mechi za Juve roho inahamiaga kooni.
Dah! Pole kaka, Mimi nilikuwa nao mguu kwa mguu. Sasa huko Turin kinapigwa kigodoro mpaka kuchee
