juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Mourinho umesikia huko Italy?Mahakama ya rufaa imetupilia mbali kesi ya jinai ya Luciano Moggi na kumuona hana hatia yoyote,pia hakukuwa ushahidi wa kutosha kuiteremsha Juve daraja mwaka 2006.Juve sasa inadai fidia ya pauni milioni 443 kutokana na hasara iliyopata kwa kushushwa daraja!FIGC wameiomba Juve isidai pesa badala yake irudishiwe makombe yake iliyopokonywa!Chama cha soka kinaomba po!Haki imeonekana.Ukweli umejulikana.Na hii ni baada ya Moggi kutoa ushahidi wa wiretaps zinazoonyesha klabu karibu zote za Italia kuwa na mchezo wa kupiga simu kwa FIGC zikiomba refa fulani wanayemuamini achezeshe.Sasa ya Juve ilikuwa na nini tofauti na nyingine hadi ionekane kuwa ni kosa?ulikuwepo ushahidi wa Moggi kuomba marefa lakini hakuna ushahidi kuwa marefa hao walipewa mlungula na kuibeba Juve.Alipoweka hadharani mawasiliano ya Moratti wa Inter na FIGC hapo hapo haraka haraka kesi imemalizwa na Juve hana hatia.Kuna nini hapo?Inter were behind Calciopoli na Mungu kawaumbua.Tena wao hata UEFA cup hawapo,Juve iko fainali ya Ulaya.Juventus imewaumbua mafioso wa soka ya Italia!Aibu!Aibu kubwa kwa soka ya Italia.Umafia michezoni,kisa?kamari!Ningekuwa na uwezo ningeihamishia Juve yetu EPL waitaliano wendawazimu kama wabongo tu!
Last edited by a moderator: