Hahahaha jana nliharibu kwa mke mwenzio shem... kifaa kilikatiza mbele yangu nikajisahau nikakipigia honi.... hakyamama nilizabwa kofi la kisogoni sijapata kuona. Nikajua yameishia hapo... Aa wapi kufika home nikafungiwa ndani, hamna cha kuangalia mpira wala nini... dadado ana wivu sijapata kuona.Nimesalimika wangu .....jana Shem langu hata hujanifanyia poa nilikutafuta sana humu tugonge cheers lakini wapi?......... Mhh!! Kwa matukio sikuwezi utafikiri matukio ya wiki ITV...lol
Hahahaha jana nliharibu kwa mke mwenzio shem... kifaa kilikatiza mbele yangu nikajisahau nikakipigia honi.... hakyamama nilizabwa kofi la kisogoni sijapata kuona. Nikajua yameishia hapo... Aa wapi kufika home nikafungiwa ndani, hamna cha kuangalia mpira wala nini... dadado ana wivu sijapata kuona.
Hiyo cheers niwekee kiporo shem
Heheheheeheeee shem nimeiprint hii useful post. Ataikuta kwenye dressing table yake hakyamama...Cheers mpaka Berlin ndo tutapiga tena, huyo dadangu inabid awe na bro wako huku ndo wataendana.... Lol.....mwambie tarehe 6.6 aniazime wewe tucheki game wote mimi sina madhara..... Teh teh teh
Heheheheeheeee shem nimeiprint hii useful post. Ataikuta kwenye dressing table yake hakyamama...
Shem wewe unaweza usiwe na madhara mimi nikawa nayo, braza si ataua mtu??:mimba:
Mourinho naona msham-beba Dybala, BONGE YA SIGNING man,
Kweli wakongwe mmerudi Aisee!!
Congrats man..
everlenk kumbe na wewe una maneno hivi? Ulifaa uwe na buluda mmoja wewe, kati ya Gang Chomba au myao wa tunduru mmoja wao angekufaaCheers mpaka Berlin ndo tutapiga tena, huyo dadangu inabid awe na bro wako huku ndo wataendana.... Lol.....mwambie tarehe 6.6 aniazime wewe tucheki game wote mimi sina madhara..... Teh teh teh
YOu can say that again pal.... there is only one Ronaldo, the one and only
This copy-cut CR7 muzee wa waxing, sauna and facial will never be the one and only Ronaldo!!!
This one is a mazafarting wax
Shem uchoyo huo sasa....... nlifikiri sumu angekula na buraza ili mimi na wewe tubaki peke yetu. Natafakari siku Barca akishinda gemu letu litakuwaje, na siku Liverpool akimchapa Man U ntakubakaje bila shuruti sasa??Hahahaha!!! Shem si mpaka uzidiwe, tutamwambia kizuri kula na nduguyo sumu ale mwenyewe.
Mkuu unanipeperushia ndege wangu ujue.....everlenk kumbe na wewe una maneno hivi? Ulifaa uwe na buluda mmoja wewe, kati ya Gang Chomba au myao wa tunduru mmoja wao angekufaa
Mkuu unanipeperushia ndege wangu ujue.....
mimi naomba unipe pole mama.Ndio natoka uvunguni saa hizi.Madrid walipopata penati nilizima tv.nikasikia watu wanashangilia huko nje,nikavaa headphone.dogo akawa anakuja chumbani kugonga mlango anipe updates,nikaingia chini ya uvungu na kutulia huko na saa yangu nikisubiri saa tano na dk 40.Ndio natoka sasa.Nimeambiwa tumeingia final ndio presha imenipanda kabisa.Sijui ushabiki gani huu nashindwa kutazama mechi za Juve roho inahamiaga kooni.
Hongereni Juventus, akina Mourinho, juve2012 kwa kufika finali, ila mimi ninakauchokozi tu hapa kwenu
Je Antonio Conte was your worst enemy?????? Kwa misimu mi3 mfululizo akiwa na timu hii hii amekuwa akiishia makundi mpaka baadhi ya mashabiki wengine wakaanza kusema labda mnanunua mechi ndo maana mlikuwa na shinda Escudeto
Je Allegri ni kocha bora na mwenye mbinu nyingi kuliko Conte???? Maana kwenye hii timu kama kuna mtu amemuongeza labda ni mmoja au wawili the rest ni player ambao Conte alikuwa nao na alifail kwenye european football.
Je Conte alikuwa right kuquit baada ya kupewa tu-hela kiduchu kwa ajili ya usajili ambapo asilimia kubwa iliingishia kwa Morata ???????
Kwangu, Allegri ni manager bora kuliko Conte ambaye alikuwa hana experience na european games kabisa na mngeendelea ku-mark time kwenye CL na Europa kama Brendan Rogers anayo-mark time epl
Cheers mpaka Berlin ndo tutapiga tena, huyo dadangu inabid awe na bro wako huku ndo wataendana.... Lol.....mwambie tarehe 6.6 aniazime wewe tucheki game wote mimi sina madhara..... Teh teh teh
Dada yangu umehamia Juve?
Ehehehehe kweli nguvu kitu cha kuisha jamani!Leo hii Man U kawa hivi mweee
Kaka yangu mimi sijahamia Juve ,Barca is my heart ,MU is my Soul, hapa nilikuja kuwafurahia marafiki zangu walivyopita kwa Fainali......nikiwa Italy hii ndo timu yangu pendwa.
Hahahaha hawa mziki mzito ati nitauweza kweli,ila poa hakuna mkate mgumu mbele ya chai....loleverlenk kumbe na wewe una maneno hivi? Ulifaa uwe na buluda mmoja wewe, kati ya Gang Chomba au myao wa tunduru mmoja wao angekufaa
Mourinho jamani mimi kuku wa kizungu kweli? Hujanitendea haki...... Asprin una rambo?????......Mkuu mbona bidada anavyojibu anaonekana kama kuku wako tu, tena wa kizungu?
cc: everlenk kwa taarifa
Tatizo kiongozi umemtajia wale mabandidu, huyu mchuchu hachelewi kuwa Suarez...