Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hahahaha jana nliharibu kwa mke mwenzio shem... kifaa kilikatiza mbele yangu nikajisahau nikakipigia honi.... hakyamama nilizabwa kofi la kisogoni sijapata kuona. Nikajua yameishia hapo... Aa wapi kufika home nikafungiwa ndani, hamna cha kuangalia mpira wala nini... dadado ana wivu sijapata kuona.Nimesalimika wangu .....jana Shem langu hata hujanifanyia poa nilikutafuta sana humu tugonge cheers lakini wapi?......... Mhh!! Kwa matukio sikuwezi utafikiri matukio ya wiki ITV...lol
Hiyo cheers niwekee kiporo shem
