everlenk mamito hujui kusoma between the lines? Au kichwa kinauma nikupatie Asprin?
Aisee!! Mourinho nimeona bana hongereni sana mtoto Morata anatisha na yule mwenye jina kama la kinyaki Marchsio sijui akapiga penalt vizuri kabisa .................unajua nilikuwa nakuja kwako Kukupongeza njiani ghafla nikapata simu toka kwa Asprin hali yake mbaya Crystal Palace wamemuumiza, karibu uje umpe pole, anapokea pole zilizoambatanishwa na Guinness.
#ForzaJuve
Marchisio ndiyo muwakilishi wetu washabiki uwanjani, huyo si mchezaji tu, ni shabiki nguli wa Bianconeri, nadhani baada ya Gigi huyu bwana ndio alifaa arithi mikoba ya unahonda
Asprin hali yake mbaya sana, sidhani kama hata hizo guinness zitamponya, anastahili kupata stogram moja kali sana kutoka Russia
Ligi yetu ni one man army, si umeona juzi Napoli na Violla wameaga mashindano ya ulaya kipuuzi kabisa, leo Inter na Mancini tumewapa kikosi cha pili na bado wamechezea kambale kama kadawia
Aisee!! Mourinho nimeona bana hongereni sana mtoto Morata anatisha na yule mwenye jina kama la kinyaki Marchsio sijui akapiga penalt vizuri kabisa .................unajua nilikuwa nakuja kwako Kukupongeza njiani ghafla nikapata simu toka kwa Asprin hali yake mbaya Crystal Palace wamemuumiza, karibu uje umpe pole, anapokea pole zilizoambatanishwa na Guinness.
#ForzaJuve
Nyie watu acheni kunitonesha madonda.....Marchisio ndiyo muwakilishi wetu washabiki uwanjani, huyo si mchezaji tu, ni shabiki nguli wa Bianconeri, nadhani baada ya Gigi huyu bwana ndio alifaa arithi mikoba ya unahonda
Asprin hali yake mbaya sana, sidhani kama hata hizo guinness zitamponya, anastahili kupata stogram moja kali sana kutoka Russia
Ligi yetu ni one man army, si umeona juzi Napoli na Violla wameaga mashindano ya ulaya kipuuzi kabisa, leo Inter na Mancini tumewapa kikosi cha pili na bado wamechezea kambale kama kadawia
Naona Juve ndo mkali wao wote na imewafunikaje?.........kuna saa nakutamania unyakue tu na UCL undelee kuweka respect........ Lol .........ila nikikumbuka kelele za kina Madristita naombea tu tulibebe li ndoo hili.....
Fainali itakuwa murua natumaini. Ukiacha jinsi ninavyomfagilia sana A. Pirlo, mimi nitakuwa upande wa Barcelona kwenye faninali. Japokuwa Juventus wakishinda ni heri pia, ni timu safi sana.
Umenisoma Mourinho ??
Asanteeeeeeeeeeeee BelindaJacob tupo pamoja, Mourinho tuachie tu lindoo hili la UEFA tulibebe..... Teh teh teh

Hongera kwa ndoo ya La Liga, Messi ni nyokho duu! Lakini atafichwa kwenye makwapa ya Chiellini siku ya siku na lindoo litanyanyuliwa na Gigi
Michel Platini slates Paul Pogba: 'He's not a star'
Juventus midfielder Paul Pogba is one of the most sought-after players in the world - but UEFA President Michel Platini is not impressed, saying he is not a star player on the same level as Lionel Messi or Cristiano Ronaldo.
Pogba isnt a superstar, Platini said to RTL.
A great footballing star is someone who scores a lot of goals.
I dont know if Paul Pogba is someone who can be on the same level as Messi or Ronaldo, as they both score 50 goals a season.
Its interesting to notice that when he loses the ball and his teammates suffer, they yell at him straight away.
Pogba has scored 10 goals in 38 appearances for the Old Lady this season, helping them to the Scudetto, Coppa Italia final and Champions League final.
Asante sana wangu, kimoko tu kikatosha kutangazwa mabingwa.......
Huyu Platini ana wifuu haoni vitu anavyofanya nyangema wetu eee?? Ni star bana kwa kiwango chake, Lakini kaongea sahihi kwa kiwango cha Messi ni nooo hata mwanangu Ronaldo hampati kiumbe wa ajabu......
Platini alikua na lengo zuri nadhani, kumshtua dogo asibweteke na kujiona kafika lakini kusema kila super nyota lazima afunge magoli 50 amekosea, Nyangema sio mshambuliaji hata hivyo
Ila siku ya siku dogo atatolea hasira zake kwenu, mjishike