Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ka timu lazio imemsumbua juve halafu unakuja kumpata msn kati kuna dogo yule rakitic na mzee iniesta hamtoki
Forza Bioncaneri,
Seria A -done
Coppa Italia -done
Champions League ?
sio kuchukua tu yani tunapiga 5 au 4 kama ACMILAN tulivyowapigaga camp nou NAJUA GANG CHOMBA LIMEKUUMA HILI NENO
sio kuchukua tu yani tunapiga 5 au 4 kama ACMILAN tulivyowapigaga camp nou NAJUA GANG CHOMBA LIMEKUUMA HILI NENO
All hail The Old Lady of Turin.................
droo?
ndugu yangu kama upo macho malizia game...
goma limeongezwa dakika 30 na hapa ni maji ya jiooni Juve washawashikisha dole gumba la mguu hawa komba mwiko
Dah!! Usingiz ulinizidi nikajikuta nimeshindwa kuendelea ikabidi nipongeze kwa pale walipofikia.
Hongereni sana Juve kwa ushindi, Mourinho hongera sana,lindoo la pili tayari, tuombeeni na sisi Barca tarehe 30 tulibebe lindoo la pili, ili Berlin tukutane wote wenye njaa ya lindoo la tatu.
#ForzaJuve
ndio maana kila siku nawaambia muwe mnafuatilia historia ya Soka kabla hamjakurupuka kuandika
Ahsante everlenk, you're so sweet no wonder why vijana wa EPL wanakupapatikia
Kila la kheri na lindoo la pili ila utatusamehe maana lijindoo la Berlin ni letu for the taking, maana jana tulimaliza miaka 20 bila lindoo la Coppa Italia, hilo la UCL linafuata
Aisee Mourinho, Viper, juve2012 hongereni sana kwa ndoo ya pili. Juve kweli mwaka huu mtaushangaza ulimwengu na si dunia. Hii kazi ya ukocha ya ajabu sana. Alegri aliyeonekana hafai Kule Milan ndio kaonekana lulu hapo Turin.
Namwona Dada everlenk akiipa kichogo EPL, mahaba kahamisree
😐ia Kule laliga kwa mchepuko wake Barcelona. Wakati huo huo akijiangusha kwa maburuda wa kitaliano.
Mourinho Napoli haooooo!!! Je leo utajilipizia kisasi au ndo vile usharidhika?....... Kila la heri best yangu.....
#ForzaJuve
Hii game Napoli wanashinda, si kwa sababu ni wazuri hapana, kwa kuwa tu hii game haina madhara yoyote kwa juve. Juve watapanga kikosi cha pili. Napoli wao wanataka kushinda kwa kuwa game yao ya mwisho ni dhidi ya Lazio tena pale st paoli. Mshindi wa game ya mwisho ataamua nani aende kucheza UCL next season.
Ni kweli Juve sasahivi hana presha anajifua zaidi na final,awaachie tu Napoli wajishindie hope kisasi atajilipizia msimu ujao......
Ziroseventytwo uko poa lakini?
Sister nipo poa. Hii game kama unavyosema juve hana pressure. Lakini katika timu ambazo juve hapendi kufungwa nazo ni pontenepoi na viola. Bora apigwe na Milan 5-0 kuliko apigwe 1-0 na Napoli au fiorentina .