Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Nawatakia kila la heri juventus na fainali ya UEFA! Kamata kabisa kale kadwarf Kasifurukute kama ambavyo huwa kanakamatwa na Chelsea! Nyavu za chelsea kanazioneaga kwenye luninga tu!

Sasa wewe una chuki binafsi na Messi......
 
Hii game Napoli wanashinda, si kwa sababu ni wazuri hapana, kwa kuwa tu hii game haina madhara yoyote kwa juve. Juve watapanga kikosi cha pili. Napoli wao wanataka kushinda kwa kuwa game yao ya mwisho ni dhidi ya Lazio tena pale st paoli. Mshindi wa game ya mwisho ataamua nani aende kucheza UCL next season.

Koh koh koh koh!
 
Sister nipo poa. Hii game kama unavyosema juve hana pressure. Lakini katika timu ambazo juve hapendi kufungwa nazo ni pontenepoi na viola. Bora apigwe na Milan 5-0 kuliko apigwe 1-0 na Napoli au fiorentina .

Kumbe unayajua haya, yaani hata mechi iwe ya watoto nikifungwa na Napoli huwa nakosa raha kabisa, na huyo Benitez wenu ndio Madrid wanamtaka, mweeeh!
 
Best yangu nilikua safari, nimeona game kuanzia dk ya 63, ahsante sana ila kule mchepukoni kwako naona Deportivo wamekomaa na wewe

Pole kwa safari, duh! Nimekumiss humu mpaka nikapata uwivu wa kike......... Lol, siyo mbaya wale watoto tungewafunga hali yao ingekuwa mbaya,kabla ya mechi nilisema tuwafunge lakini mechi ilivyoendelea jinsi walivyokuwa wanalia nikasema washinde.
 
Pole kwa safari, duh! Nimekumiss humu mpaka nikapata uwivu wa kike......... Lol, siyo mbaya wale watoto tungewafunga hali yao ingekuwa mbaya,kabla ya mechi nilisema tuwafunge lakini mechi ilivyoendelea jinsi walivyokuwa wanalia nikasema washinde.

Ahsante, hata mie nilikumiss pia

ImageUploadedByJamiiForums1432447966.588550.jpg
 
Andre Barzagli Will miss UCL fainal after injured in 3-1 victory over Napoli on Saturday. Vipimo vinaonyesha ameumia misuli ya paja.
 

Attachments

  • 1432627923137.jpg
    1432627923137.jpg
    39.3 KB · Views: 73
Di Marzio saying Juventus wants to sign Khedira, talks are in advanced stages..
 
Mourinho uko kimya sana kwema? Sioni amsha amsha za UCL..........au Messi anakunyima usingiz?
 
Last edited by a moderator:
Umeona kikosi kinacholeta msiba kwenu? Mtapona kweli....... Ila waitaly mna kismat na uwanja wa Berlin kazi kwenu,the history matters........
 

Attachments

  • 1433190594182.jpg
    1433190594182.jpg
    66.2 KB · Views: 61
GIANLUIGI BUFFON, LIONEL MESSI CUCCITTINI, ANDRÉS INIESTA LUJÁN, GIORGIO CHIELLINI, BARCELONA, JUVENTUS, UEFA CHAMPIONS LEAGUE

As the build-up for the UEFA Champions League final heats up, Gianluigi Buffon has played down Juventus' hopes against Barcelona.
Juventus take on Barcelona in the UEFA Champions League final at the Olympic Stadium in Berlin on Saturday. Here we look at Monday's build-up.
Buffon: Juve have less than 35 per cent chance of winning
Gianluigi Buffon has never won the Champions League in his illustrious career and the veteran appears to be pessimistic over his chances of lifting the trophy this weekend. The Italy international says Juve had a "35 per cent chance" of beating Real Madrid in the semi-finals and believes the odds of doing the same against Barca are even slimmer.
Iniesta final place in the balance
While Buffon has played down Juve's hopes, there has been news of a potential boost for the Serie A champions' chances. Reports in the Spanish media suggest that Barca midfielder Andres Iniesta's place in the final is in the balance due to an injury he suffered in the Copa del Rey showpiece against Athletic Bilbao. Iniesta has reportedly not torn a muscle in his calf but could still be left out by coach Luis Enrique if the problem is deemed serious enough.
Messi would not be able to score goals like that in Italy - Chiellini
The world marvelled at Lionel Messi's magical solo opener in that 3-1 win over Bilbao. However, Juve defender Giorgio Chiellini seems distinctly unimpressed. The centre-back said: "Messi would not be able to score goals like that in Italy. At the moment he is the God of football. The offensive play in Spain is great but we defend better here in Italy." Chiellini will have to back those words up in the German capital if Juve are to stop Barca's remarkable talisman.
No problem shaking hands with Suarez - Chiellini
One of the biggest storylines surrounding this encounter concerns the aforementioned Italy international and Barca forward Luis Suarez, who left his mark on Chiellini during last year's World Cup by biting his shoulder. Suarez was famously banned from football for four months but the pair quickly made up. And Chiellini states there will be no hard feelings during their first meeting since that incident. He said: "I've no problem in shaking his hand; everyone who knows me would know that."
I want to repay Barca - Messi
With all the trophies Barca have won as a result of Messi's brilliance, most would suggest the Argentina forward owes nothing to the club. Messi does not see it way, however, and has one mission ahead of the final. "We know it won't be easy because Juventus are a great team and anything can happen," Messi told UEFA.com. "I grew up at this club and want to do so much for them in light of everything they've done for me."
Juve can beat Barca - Van Basten
Netherlands legend Marco van Basten has plenty of knowledge of Italian football and winning Europe's top competition, having lifted this trophy twice with Milan. And, while Juve are heavy underdogs, Van Basten feels Massimiliano Allegri's men are capable of a surprise. He told Sky Sports: "The good thing for Juventus is that they are a team that understands and reads the flow of the game. So if they feel they need to defend they have the discipline to defend, but if they have the possibility to attack they will go forward. That's what gives them the chance to beat Barca."
Rakitic calls for calm
It seems implausible that a team as experienced as Barca would lose composure on the big stage but, amid the hoopla of a potential treble for the Catalans, midfielder Ivan Rakitic has been quick to warn against such an eventuality. "We can let our emotions run wild if we get our hands on the trophy," he told FIFA.com. "But there's a match to play first."
Juve preparing for penalties
The news that an Italian team are preparing for penalties will shock nobody. And Allegri confirmed that Juve will be ready should they hold out for 120 minutes. "We can also end up shooting penalties," he said. "We have to be prepared, there is a chance, but I think it is difficult for this match to end up on penalties." Juve lost to Milan on penalties in their last Champions League final in 2003 after a 0-0 draw that did not live long in the memory.
Morata ready to do it for Real
Alvaro Morata did not celebrate either of his goals over the two legs as he helped knock out former club Real Madrid. But it is tough to imagine him being so reserved should he net in the final against the Spanish capital club's archrivals. He told Cadena SER: "I'll try to win, because of what it means for Real Madrid fans as well."

Read more at http://www.fourfourtwo.com/news/cha...ve-hopes-iniesta-doubtful#Q0MLFZl1UYF6yGFM.99
 
Mourinho uko kimya sana kwema? Sioni amsha amsha za UCL..........au Messi anakunyima usingiz?

Kwanza hujambo sweet everlenk? Nilikua safari na ndio kwanz nimerudi so hizo amsha amsha, tambo, mbwembwe, majigambo na bakshasha kuanzia leo zitakua zinaflow kwa current ya hali ya juu sana, #forzaJuve
Wakati wewe unadhani Messi ananinyima usingizi kiungo wenu wa kutumainiwa, mchezaji ambaye mimi naona kuna time hii fifa mafioso ilimnyima zawadi yake ya kuwa mwanasoka bora wa dunia, Andreas Iniesta, kaingiwa na woga/ndetema wa kukutana na mdundiko wa buluda mpaka anataka asicheze fainali
Tuko tayari kuishangaza dunia na endeleeni kula urojo, bamia, mlenda na vyakula vyote vitakavyo wasaidia kulainisha viuno maana mdundiko wa kibuluda ukipita kitaa lazima ucheze tu hata kama hamtaki, waulizeni Madrid myao wa tunduru Gang Chomba juve2012, Ziroseventytwo, Viper, bologna, na mabuluda wote wa JF, karibuni nyumbani kwa mabingwa
 
Last edited by a moderator:
Kwanza hujambo sweet everlenk? Nilikua safari na ndio kwanz nimerudi so hizo amsha amsha, tambo, mbwembwe, majigambo na bakshasha kuanzia leo zitakua zinaflow kwa current ya hali ya juu sana, #forzaJuve
Wakati wewe unadhani Messi ananinyima usingizi kiungo wenu wa kutumainiwa, mchezaji ambaye mimi naona kuna time hii fifa mafioso ilimnyima zawadi yake ya kuwa mwanasoka bora wa dunia, Andreas Iniesta, kaingiwa na woga/ndetema wa kukutana na mdundiko wa buluda mpaka anataka asicheze fainali
Tuko tayari kuishangaza dunia na endeleeni kula urojo, bamia, mlenda na vyakula vyote vitakavyo wasaidia kulainisha viuno maana mdundiko wa kibuluda ukipita kitaa lazima ucheze tu hata kama hamtaki, waulizeni Madrid myao wa tunduru Gang Chomba juve2012, Ziroseventytwo, Viper, bologna, na mabuluda wote wa JF, karibuni nyumbani kwa mabingwa

Mimi mzima dear nashukuru Mungu, pole na safari wangu, itabidi siku nikaribie nile na mimi vya safarini........

Hii game kiasi fulani inatisha ukizingatia kwa mlicho kifanya kwa RM wengi wanaogopa lakini kwa Barca mtatulia tu.....Iniesta lazima aogope wale Bilbao walimpa majeraha kidogo sasa akikumbuka mabuluda walivyo maana nyie kwa rafu mabuluda mko vizuri anahofu msije mkamnyima kucheza msimu ujao......

Kitakachowasaidia mtumie mbinu ya Mou tu kupaki basi hilo hata wachezaji wenu wa zamani wamelisema....... Mimi naona aibu tu vijana watakavyo wapigisha kwata wazee.......lol.... Europa imeshakuja Spain kifuatacho ITV ni UCL.......tusameheni tu kwa hilo japo tunajua nanyi mwataka kuibeba Italy irudi kwenye form ila hatuna namna zaidi ya mpigwe tu.
 
Last edited by a moderator:
Juve jiburudisheni tuu hiyo ni haki yenu sisi barca maongezi ni kidogo kuliko vitendo tumabakiwa na siku 4 msn wanyanyue ndoo najua wale mliowatoa nusu final leo ndio watakushangirieni ili kukupeni sapota wamesha sahau kua nyinyi ndio mlio watoa ila haina shida tarehe 6 ndio hioo mtakuja kumjua huyu mtu anaeitwa messi ni mtu wa aina gani
 
Back
Top Bottom