Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Kuhama ipo dada
Kuwa kama ndugu yetu RRONDO ambaye nahisi kahamia Chelsea sasa
Ehehehehehe

Weweeeeeeee!!!! Yule ni red kamili hawezi hama....... Naona nawe umehamia Juve usiwe kama Ed n Edd nEddy kahamia RM anasema mchepuko umemzingua hadi anatamani kumwadithia wife LFC.....lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha hawa mziki mzito ati nitauweza kweli,ila poa hakuna mkate mgumu mbele ya chai....lol
Mourinho jamani mimi kuku wa kizungu kweli? Hujanitendea haki...... Asprin una rambo?????......

Taarifa imefika......
everlenk mamito hujui kusoma between the lines? Au kichwa kinauma nikupatie Asprin?
Huko San Siro Bianconeri wameendeleza ubabe kwenye Derby d’Italia, mtoto Morata ni moto wa kuotea mbali
 
Last edited by a moderator:
everlenk mamito hujui kusoma between the lines? Au kichwa kinauma nikupatie Asprin?
Huko San Siro Bianconeri wameendeleza ubabe kwenye Derby d’Italia, mtoto Morata ni moto wa kuotea mbali

Aisee!! Mourinho nimeona bana hongereni sana mtoto Morata anatisha na yule mwenye jina kama la kinyaki Marchsio sijui akapiga penalt vizuri kabisa .................unajua nilikuwa nakuja kwako Kukupongeza njiani ghafla nikapata simu toka kwa Asprin hali yake mbaya Crystal Palace wamemuumiza, karibu uje umpe pole, anapokea pole zilizoambatanishwa na Guinness.

#ForzaJuve
 
Marchisio ndiyo muwakilishi wetu washabiki uwanjani, huyo si mchezaji tu, ni shabiki nguli wa Bianconeri, nadhani baada ya Gigi huyu bwana ndio alifaa arithi mikoba ya unahonda

Asprin hali yake mbaya sana, sidhani kama hata hizo guinness zitamponya, anastahili kupata stogram moja kali sana kutoka Russia
Ligi yetu ni one man army, si umeona juzi Napoli na Violla wameaga mashindano ya ulaya kipuuzi kabisa, leo Inter na Mancini tumewapa kikosi cha pili na bado wamechezea kambale kama kadawia
 
Naona Juve ndo mkali wao wote na imewafunikaje?.........kuna saa nakutamania unyakue tu na UCL undelee kuweka respect........ Lol .........ila nikikumbuka kelele za kina Madristita naombea tu tulibebe li ndoo hili.....
 
Last edited by a moderator:
everlenk mamito hujui kusoma between the lines? Au kichwa kinauma nikupatie Asprin?
Huko San Siro Bianconeri wameendeleza ubabe kwenye Derby d'Italia, mtoto Morata ni moto wa kuotea mbali

Aisee!! Mourinho nimeona bana hongereni sana mtoto Morata anatisha na yule mwenye jina kama la kinyaki Marchsio sijui akapiga penalt vizuri kabisa .................unajua nilikuwa nakuja kwako Kukupongeza njiani ghafla nikapata simu toka kwa Asprin hali yake mbaya Crystal Palace wamemuumiza, karibu uje umpe pole, anapokea pole zilizoambatanishwa na Guinness.

#ForzaJuve

Marchisio ndiyo muwakilishi wetu washabiki uwanjani, huyo si mchezaji tu, ni shabiki nguli wa Bianconeri, nadhani baada ya Gigi huyu bwana ndio alifaa arithi mikoba ya unahonda

Asprin hali yake mbaya sana, sidhani kama hata hizo guinness zitamponya, anastahili kupata stogram moja kali sana kutoka Russia
Ligi yetu ni one man army, si umeona juzi Napoli na Violla wameaga mashindano ya ulaya kipuuzi kabisa, leo Inter na Mancini tumewapa kikosi cha pili na bado wamechezea kambale kama kadawia
Nyie watu acheni kunitonesha madonda.....

Yani tumefanya send off hakuna cha bia wala soda. Mihogo mikavuuu

Hili li BR likikatiza mbele yangu nalibwenga makwenzi...

Imajin... Hapa Simba maumivu,
Kule Liverpool majanga
Yani nimebakiwa na Barca tu.... Sasa hapa mnavyoizungumzia Juve mnazidi kunipandisha presha.

Ntahamia Ushirika ya Moshi sasa hakyamama.
 
Naona Juve ndo mkali wao wote na imewafunikaje?.........kuna saa nakutamania unyakue tu na UCL undelee kuweka respect........ Lol .........ila nikikumbuka kelele za kina Madristita naombea tu tulibebe li ndoo hili.....

Lindoo hili lina hatihati ya kutua Turin, kama vijana wangu watamzuia ipasavyo 'kiumbe wa ajabu' maana ile beki yenu simuoni wa kumzuia Carlitos na dogo Morata, tena huyu dogo naye ana damu ya Madrid
 
Fainali itakuwa murua natumaini. Ukiacha jinsi ninavyomfagilia sana A. Pirlo, mimi nitakuwa upande wa Barcelona kwenye faninali. Japokuwa Juventus wakishinda ni heri pia, ni timu safi sana.
Umenisoma Mourinho ??
 
Last edited by a moderator:
Fainali itakuwa murua natumaini. Ukiacha jinsi ninavyomfagilia sana A. Pirlo, mimi nitakuwa upande wa Barcelona kwenye faninali. Japokuwa Juventus wakishinda ni heri pia, ni timu safi sana.
Umenisoma Mourinho ??

Asanteeeeeeeeeeeee BelindaJacob tupo pamoja, Mourinho tuachie tu lindoo hili la UEFA tulibebe..... Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Fainali itakuwa murua natumaini. Ukiacha jinsi ninavyomfagilia sana A. Pirlo, mimi nitakuwa upande wa Barcelona kwenye faninali. Japokuwa Juventus wakishinda ni heri pia, ni timu safi sana.
Umenisoma Mourinho ??

Umesomeka loud and clear
Kila la kheri na ahsante sana kwa kutambua kuwa Juventus ni team safi sana, tumejiandaa kuushangaza ulimwengu
#ForzaJuve
 
Last edited by a moderator:
Michel Platini slates Paul Pogba: 'He's not a star'

Juventus midfielder Paul Pogba is one of the most sought-after players in the world - but UEFA President Michel Platini is not impressed, saying he is not a star player on the same level as Lionel Messi or Cristiano Ronaldo.

“Pogba isn’t a superstar,” Platini said to RTL.

“A great footballing star is someone who scores a lot of goals.

“I don’t know if Paul Pogba is someone who can be on the same level as Messi or Ronaldo, as they both score 50 goals a season.

“It’s interesting to notice that when he loses the ball and his teammates suffer, they yell at him straight away.”

Pogba has scored 10 goals in 38 appearances for the Old Lady this season, helping them to the Scudetto, Coppa Italia final and Champions League final.
 
Hongera kwa ndoo ya La Liga, Messi ni nyokho duu! Lakini atafichwa kwenye makwapa ya Chiellini siku ya siku na lindoo litanyanyuliwa na Gigi

Asante sana wangu, kimoko tu kikatosha kutangazwa mabingwa.......
 
Michel Platini slates Paul Pogba: 'He's not a star'

Juventus midfielder Paul Pogba is one of the most sought-after players in the world - but UEFA President Michel Platini is not impressed, saying he is not a star player on the same level as Lionel Messi or Cristiano Ronaldo.

“Pogba isn’t a superstar,” Platini said to RTL.

“A great footballing star is someone who scores a lot of goals.

“I don’t know if Paul Pogba is someone who can be on the same level as Messi or Ronaldo, as they both score 50 goals a season.

“It’s interesting to notice that when he loses the ball and his teammates suffer, they yell at him straight away.”

Pogba has scored 10 goals in 38 appearances for the Old Lady this season, helping them to the Scudetto, Coppa Italia final and Champions League final.

Huyu Platini ana wifuu haoni vitu anavyofanya nyangema wetu eee?? Ni star bana kwa kiwango chake, Lakini kaongea sahihi kwa kiwango cha Messi ni nooo hata mwanangu Ronaldo hampati kiumbe wa ajabu......
 
Platini alikua na lengo zuri nadhani, kumshtua dogo asibweteke na kujiona kafika lakini kusema kila super nyota lazima afunge magoli 50 amekosea, Nyangema sio mshambuliaji hata hivyo
Ila siku ya siku dogo atatolea hasira zake kwenu, mjishike
 
Hahahaha!!! Nyangema hatuwezi bana, atakutana na tozi mwenzie Neymar akiwa na kismati kama cha Buyern atapachika yake .........dogo Pogba yupo vizuri akaze buti sometym hawa wazungu kutukubali waafrika hutuwekea vikwazo kibao kwani hao wengine wanaoitwa mastar wamepachika mabao 50?
 
Di Marzio saying you're in talks with PSG and Cavani's represantatives..

I know Teves is leaving, but tayar msha-beba Dybala, so sioni sababu ya cavani, kwan Re-buy clause ya Morata ikoje?? RMA washapiga hodi?? Kama bado sioni mantiki ya kumsajili cavani wakat Morata bado yupo..
 
Back
Top Bottom