Juventus Special Thread

unaposema refa wa barca unamaanisha nini mkuu kubali kushindwa usilete vijisababu visivyo na maana kama ni mpira mlijitahidi kucheza ila mlizidiwa dakika sita refa aliwapa aone labda mtarejesha lakini wapi ndio neymar akaja kukukatisheni tamaa kabisa na yule ndugu yenu vidal jana hakuna alichofanya zaid ya kucheza rafu na kuna mpira neymara kaupiga beki wenu katia mkono refa kapeta mwisho pogba anakuja kuvutana na dani alves anataka penalt wapiiiii poleni wakuu season ijayo jitayarisheni mtafika mbali
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!
 
Sweetheart Mourinho inatosha sasa, umehuzunika vya kutosha, ukuje jamvini baby yapo mengi mazuri ya kutuhabarisha yanayoendelea kwenye club yenu.......yaliyopita si ndwele tugange yajayo.....
 
Last edited by a moderator:
Sweetheart Mourinho inatosha sasa, umehuzunika vya kutosha, ukuje jamvini baby yapo mengi mazuri ya kutuhabarisha yanayoendelea kwenye club yenu.......yaliyopita si ndwele tugange yajayo.....

Thank you sweetheart, maumivu ya kufungwa kwenye fainali yalipoa kesho yake mpenzi in fact I have never been proud of my Juventus kama juzi, nimependa vijana walivyojituma na kujitoa mazima, they played with passion na hakuna kingine ningependa zaidi
Dybala na Khedira tushawatia kibindoni, bado tutaongezea vijana wengine wawili watatu, kwa kweli tunaenda vizuri sana

#ForzaJuventus
 
Last edited by a moderator:

Safi sana dear, tuweke unafiki pembeni kiukweli walicheza na walijitahidi kumbana Maestro Messi kisawasawa ingawaje...... Hongereni kwa bonge la usajili, vipi naskia tetesi vijana wenu kama Pogba, Vidal,Morata na Tevez mnataka kuwaachia waondoke? Hope Saint Pirlo atastaafu na je mwingine nani?
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!
 
Sheiiinz Taipuuuuuuuuuuuu!!!!
Aleyn kama una hata chembe ya adabu iliyosalia nafsini mwako, uje ufute hii kauli na ututake radhi Majuventini,
Hakuna asiyejua shombo kama utapenda vita ya shombo!
 
Last edited by a moderator:
It's on then

My dear nimekumiss mpaka basi!!....... Jamani hakuna mazuri huku ya kushare nasi? usitufanyie hivyo swt!!!!..........BTW Hongera sana vijana wako kule Copa America wanafanya kazi nzuri sana wamewakilisha vyema.
 
I miss you more Bebito mpaka natetemeka, nilikua na kamuda flani hivi nikaamua kufanya tour ya ndani, nikasahau na machungu ya fainali ila sasa nimerudi
Mashindano yamejaa ubabe, undava na wehu, na yamepoteza kabisa radha ya soka la Latin America.
 
Asante dear......Natumai sasa umerudi kwa nguvu zote tunahitaji kusikia mengi kutoka pande hizi .
 
Ahahahaahahahahhahahahahahahahahahahahahahahaha!!!!
 
Mimi ni Juventus ila kuanzia leo nahamia FC BARCELONA timu bora
 
Mimi ni Juventus ila kuanzia leo nahamia FC BARCELONA timu bora

Karibu Barca Kaka, achana na timu za kijinga jinga kama Juve, mara ya mwisho kuingia Fainal UEFA sijui lini. Ameingia msimu huu kwa kubahatisha baada ya akaze analegezaaa!!! Kweli Barca dume, mademu wote wa Italy wanamzimikia, mpaka bibi yao Juventus anampenda Barca!!!
 
Kiukweli nimefarijika kuwa mshabiki wa barca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…