Babchabi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 1,745
- 777
unaposema refa wa barca unamaanisha nini mkuu kubali kushindwa usilete vijisababu visivyo na maana kama ni mpira mlijitahidi kucheza ila mlizidiwa dakika sita refa aliwapa aone labda mtarejesha lakini wapi ndio neymar akaja kukukatisheni tamaa kabisa na yule ndugu yenu vidal jana hakuna alichofanya zaid ya kucheza rafu na kuna mpira neymara kaupiga beki wenu katia mkono refa kapeta mwisho pogba anakuja kuvutana na dani alves anataka penalt wapiiiii poleni wakuu season ijayo jitayarisheni mtafika mbaliDah Juventus tumepigwa mbaya half Ya kwanza hatukucheza na Tevez hakuwa kwenye Game... Ndio Football lazima kukubali matokeo bao la 3 limekata maini mpaka Refa wa Barca kaona amalize tu sababu wapiga picha wamejazana kama wanampiga pic Celebrity wetu everlenk au Wacha1 , chama langu la Italy limeumia nimemuonea huruma sana Pirlo kumuona mtu mzima analia sio kitu kizuri Bora mtoto utasema ah kawaida ila Mwanaume mtu mtu mzima ambaye utegemei kulia utajua kuna jambo na imemuuma vibaya. Hongera kwa barcelona.