Dirisha hili la usajili naona watu wakiongozwa na Conte wanataka kuibomoa kabisa Juve,.......Pogba, Dybala, Morata, Bonucci, Assamoah wote hawa wanaweza kuuzwa kwenye dirisha hili
Sijamsikia Marota hata kidogo, sijui nyie wenzangu
Ahsante BeloJuve haiwezi kubomolewa Marota ni mmoja ya wataalamu wa usajili barani ulaya kwa sasa,aliyemzidi labda ni Rumeniege wa Bayern kumbuka aliwasajili bure Pogba,Pirlo,Khedira na Tevez,Dybala,Morata,Vidal,Evra na msimu huu Pjanic na Alves wameshatua mchezaji anayeweza kuondoka ni Pogba na Juve itapata hela ya kutosha
Na HiguainWadau kimya sana. Naona pjanic ashatua Mjini vinovo.
Juve wanatakiwa kutengeneza kikosi cha kushindana ulaya. SerieA la copa italia waachie kina milan na napoli.Juventus wanaweza kuweka rekodi ya kuchukua serie A hata miaka 10 mfululizo
Juve wanatakiwa kutengeneza kikosi cha kushindana ulaya. SerieA la copa italia waachie kina milan na napoli.
Ulaya kuna chalenge kubwa tangu wauchukue ubingwa wa ulaya mara ya mwisho wameingia fainali 4 na zote wamefungwa.Milan ndio wanaiweza UEFA
Juventus wanaweza kuweka rekodi ya kuchukua serie A hata miaka 10 mfululizo
Kama serie A imewashinda na inter wake,je UEFA wataweza?
Allegri anashindwa kupanga safu ya kiungo vizuri.Uzuri wana majembe ya uhakika
Woooohhhh I can't believe aiseeeee usijifiche tena......Leo nitakuota !!!!!......Nipo Sweetheart, nimekumiss
Woooohhhh I can't believe aiseeeee usijifiche tena......Leo nitakuota !!!!!......
Nipe Habari za Juve yaani Toka mtuuzie Yule Nyangema basi sijawafatilia tena.....ligi inaendaje? mnalisongesha bado?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lugha Zetu hizi za kunogesha..... kijana wetu Pogba.Nani nyangema tena? Everlenk