Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Dirisha hili la usajili naona watu wakiongozwa na Conte wanataka kuibomoa kabisa Juve,.......Pogba, Dybala, Morata, Bonucci, Assamoah wote hawa wanaweza kuuzwa kwenye dirisha hili
Sijamsikia Marota hata kidogo, sijui nyie wenzangu
 
Juve haiwezi kubomolewa Marota ni mmoja ya wataalamu wa usajili barani ulaya kwa sasa,aliyemzidi labda ni Rumeniege wa Bayern kumbuka aliwasajili bure Pogba,Pirlo,Khedira na Tevez,Dybala,Morata,Vidal,Evra na msimu huu Pjanic na Alves wameshatua mchezaji anayeweza kuondoka ni Pogba na Juve itapata hela ya kutosha
 
Ahsante Belo
Unaona mziki tunawapeleka mpelampela warembo wa Belgium?
 
Juventus wanaweza kuweka rekodi ya kuchukua serie A hata miaka 10 mfululizo
 
Attachments

  • 1469717836540.jpg
    1469717836540.jpg
    19.8 KB · Views: 50
Kama serie A imewashinda na inter wake,je UEFA wataweza?

Miaka 10 iliyopita Juventus walikuwa kwenye hali mbaya mno kuliko hali waliyo nayo Milan kwa sasa.Berlusconi ameshindwa kuijenga upya Milan kama akifanikisha kuiuza naamini Milan itarudi
 
Nipo Sweetheart, nimekumiss
Woooohhhh I can't believe aiseeeee usijifiche tena......Leo nitakuota !!!!!......

Nipe Habari za Juve yaani Toka mtuuzie Yule Nyangema basi sijawafatilia tena.....ligi inaendaje? mnalisongesha bado?
 
Back
Top Bottom