Juventus Special Thread

Si aspetta la PREMIAZIONE! [HASHTAG]#WeWonAgain[/HASHTAG] [HASHTAG]#JuveLazio[/HASHTAG]
 
FOTO DI FAMIGLIA CON COPPA. [HASHTAG]#WeWonAgain[/HASHTAG] [HASHTAG]#JuveLazio[/HASHTAG]
 
Juventus are the first team in history to win 3 consecutive Coppa Italias:

2014/15 vs. Lazio
2015/16 vs. AC Milan
2016/17 vs. Lazio
 
Kwa pamoja naomba tuishabikie Juventus Mkuu, hawa watu wapo makini.
kuanzia mtaani watu wananiuliza asee
utakuwa kipande ipi, but at least i'l be fine with anybody who takes t
 
Hakuna swali linaloniumiza kichwa kama ni namna gani ambavyo Real Madrid watapata goli mbele ya akina Bonuchi, chielin, Barzaghi n.k
Labla wapate mbeleko kama walivyopewa Vs Bavarians na ile red kadi ya uongo kwa Vidal wakati yule Casemiro alitakiwa kupewa a justified red card alivyomfanyia faulo Robben

Halafu tuna mtu anaitwa Dani Alves, kiboko ya Christina, kwa hiyo swali lako lisiishie tu kwa The BBC, bali jiulize pia Christina atakuja na mashauzi gani kumrubuni Alves amwachie apite bila kuuchezea mkwaju
 
Kumbe upooo!!!!

Mimi niwatakie heri zote yaani hii season UEFA ije Italy..... All the best Juve.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…