George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Hakika wameingizwa mkenge..!Tatizo kubwa la Juventus ni ujio wa Ronaldo, Wachezaji wengi wa mbele wamekua wakicheza chini ya kiwango toka atue Ronaldo, Mana mfumo mpya unawalazimu kumtumikia Ronaldo na wanakua hawapo huru kabisa. Masikini Dybala na Costa wamekua wakicheza kwenye wakati mgumu sana.
Niliwahi kuzungumza nikaishia kutolewa povu humu. Kama Ronaldo hatoisaidia Juventus bali ataibovua. Usajili wake haukuhitajika kabisa kwenye timu. Pesa ilikua itumike kuimarisha midfield mana wazee kina Khadira na Pijanic wameshachoka. Ila wakaishia kuingizwa mkenge kwa mihemko yao.
Umuhimu wake leo umeonekana.Tatizo kubwa la Juventus ni ujio wa Ronaldo, Wachezaji wengi wa mbele wamekua wakicheza chini ya kiwango toka atue Ronaldo, Mana mfumo mpya unawalazimu kumtumikia Ronaldo na wanakua hawapo huru kabisa. Masikini Dybala na Costa wamekua wakicheza kwenye wakati mgumu sana.
Niliwahi kuzungumza nikaishia kutolewa povu humu. Kama Ronaldo hatoisaidia Juventus bali ataibovua. Usajili wake haukuhitajika kabisa kwenye timu. Pesa ilikua itumike kuimarisha midfield mana wazee kina Khadira na Pijanic wameshachoka. Ila wakaishia kuingizwa mkenge kwa mihemko yao.
Penaldo mkuu
Tumeona mkuu kapaki basi mwanzo mwisho na alichokitaka amekipata piaMkuu upo?? Naona leo Juve imefundishwa mpira wa ushindani sio yale mabonanza mliyozoea kucheza huko Italia sijui cagliari na chievo!! Poleni sana jaribuni tena bahati mwakani maana Huko Turin tegemea Simeone kupaki basi mwanzo mwisho.
Muwe na akiba ya maneno basi mnaongea kama hamjui Ronaldo anachezea timu gani?Mkuu hata kulekule Turin wanakufa Hawa vizuri
Tatizo kubwa la Juventus ni ujio wa Ronaldo, Wachezaji wengi wa mbele wamekua wakicheza chini ya kiwango toka atue Ronaldo, Mana mfumo mpya unawalazimu kumtumikia Ronaldo na wanakua hawapo huru kabisa. Masikini Dybala na Costa wamekua wakicheza kwenye wakati mgumu sana.
Niliwahi kuzungumza nikaishia kutolewa povu humu. Kama Ronaldo hatoisaidia Juventus bali ataibovua. Usajili wake haukuhitajika kabisa kwenye timu. Pesa ilikua itumike kuimarisha midfield mana wazee kina Khadira na Pijanic wameshachoka. Ila wakaishia kuingizwa mkenge kwa mihemko yao.
Real Madrid tayari ameshatia mguu mmoja ndani ya Champion league Quarter final. Juventus washaelekea kuchinjwa halafu bado unataka kipi chengine?
Mkuu hata kulekule Turin wanakufa Hawa vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee baba usiombe upangwe na Juve ..utaoga magoli..Mimi natamani Juve tupangwe na Chelsea.
Jana kawaficha wanaumeMkuu kumekuchaaaa naona leo Ronaldo kafichwa na wanaume.... Kweli UEFA ina wenyewe
Teh teh teh mtoto halali na helaMkuu upo?? Naona leo Juve imefundishwa mpira wa ushindani sio yale mabonanza mliyozoea kucheza huko Italia sijui cagliari na chievo!! Poleni sana jaribuni tena bahati mwakani maana Huko Turin tegemea Simeone kupaki basi mwanzo mwisho.
Rudia tena kuongeaTatizo kubwa la Juventus ni ujio wa Ronaldo, Wachezaji wengi wa mbele wamekua wakicheza chini ya kiwango toka atue Ronaldo, Mana mfumo mpya unawalazimu kumtumikia Ronaldo na wanakua hawapo huru kabisa. Masikini Dybala na Costa wamekua wakicheza kwenye wakati mgumu sana.
Niliwahi kuzungumza nikaishia kutolewa povu humu. Kama Ronaldo hatoisaidia Juventus bali ataibovua. Usajili wake haukuhitajika kabisa kwenye timu. Pesa ilikua itumike kuimarisha midfield mana wazee kina Khadira na Pijanic wameshachoka. Ila wakaishia kuingizwa mkenge kwa mihemko yao.
Naona umeiwekea Mdhamana Athletico ila nakupa pole maana atatoroka na jela utaingia wewe... Athletico ni wahuni fulani usiwaamini shauri yako ni kama Westhama tu wale.... Juve imefunzwaje Mpira wakati game waliitawala yote Hadi Griezzman aligeuka beki mkuu
Juve na ManU Lazima zitacomeback tu wala usikhofu..