Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Watu wazima leo wameshikwa vibaya,wanachezewa nusu uwanja.kweli Milan kushney!tunambwela tu tungepiga hata tano!


Mmmh sheikh haya maneno kipindi cha kwanza mbona hukuyasema?
Haya maneno mbona kabla Mexes hajapewa Red hukuyasema?
Haya maneno mbona wakati game iko 1-1 hukuyasema?
 
Leo hata sina hamu ya kumtania Chomba manake hapa hana timu.hakuna upinzani kabisa!timu mbooovu.beki zao za kati akina Zapata hawaelewani na Conte kawaona akawaingizia "panya" Giovinco.


Shukran kwa kunistiri mzee mwanzangu...dah
 
Definitely, leo tume capitalize kwenye makosa ya Milan, hakuna cha maana tumefanya

Leo Vidal alikua Chile, kazi ikabaki kwa Pirlo, tunamtegemea sana huyu mzee halafu kina Marota wanasuasua kumpa mkataba mpya, na usijekushangaa akaondoka

Team mbovuuu, itakua miujiza kama tutatetea scudeto


Usishangae akatimkia AS Roma next season...
Maana kashamalizana na Inter, AC na sasa yupo under nyie...
 
Usishangae akatimkia AS Roma next season...
Maana kashamalizana na Inter, AC na sasa yupo under nyie...

Tetesi zinasema King Carlo anamtaka akawafundishe kina Isco, Modric na Khedira how to pass a ball
 
Shukran kwa kunistiri mzee mwanzangu...dah

ninalo la kuongea basi?yaani hofu tupu Milan na Turin mwaka huu.nikizifikiria Napoli,Madrid na Roma,nahisi choo kinachungulia halafu kinarudi tumboni!hiyo siku tukikutana nazo itabidi nitafute nusu kaputi ili nilale!hatuna timu Gang Chomba Milan wala Juve hamna timu kote!
 
Last edited by a moderator:
wkiendi hii nzuri sana baada ya GC kupata kichapo cha kiaina toka kwa vibibi nimefurahi sana..
 
GAZETTO DELLO SPORT...
La Signora alza la Vorce...
The Lady raises her Voice...

TUTTO SPORT
Questa si ela Juve...
this Certainly is Juve...

ILL CORRIERO DELLO SPORT
Napoli e Juve ci sono...
Napoli and Juve are present
 
Juventus are reportedly contemplating a
January bid for Real Madrid's Fabio Coentrao. The Portuguese star almost left the Santiago
Bernabeu in the summer with Manchester
United close to completing a loan switch, while
the Bianconeri themselves are well know to be
looking for a left-back. According to Mundo Deportivo, the player will
look to leave the Spanish side in the January
transfer window after starting just three La Liga
matches this season....

Ukisikia kuchanganyikiwa ndo huko...watu mna Kwadkwo Asamoah na Giorgio Chielini lakini mnataka kumtumbukiza na huyo dogo...
Badala msake playmaker wa kumlisha Tevenga mnakazi ya kumbwela tu...
 
Huyo ndio Marrota na Conte wake. Timu inacheza vibaya msimu huu. wenyewe ndio wanaona timu nzurii. Amakweli tunatofautiana mitazamo. Tevez yule ilibidi aambiwe azurure tu uwanjani maana jinsi wanavyomchezesha ni majanga tu. Yan nikimwangalia Gelvinho anavyocheza roma ROHO inaniuma sana.
 
Juventus are reportedly contemplating a
January bid for Real Madrid's Fabio Coentrao. The Portuguese star almost left the Santiago
Bernabeu in the summer with Manchester
United close to completing a loan switch, while
the Bianconeri themselves are well know to be
looking for a left-back. According to Mundo Deportivo, the player will
look to leave the Spanish side in the January
transfer window after starting just three La Liga
matches this season....

Ukisikia kuchanganyikiwa ndo huko...watu mna Kwadkwo Asamoah na Giorgio Chielini lakini mnataka kumtumbukiza na huyo dogo...
Badala msake playmaker wa kumlisha Tevenga mnakazi ya kumbwela tu...

Marotta pumba.fu kabisa, wakati anawaza upuuzi kama huo Tottenham wanaandaa fungu la kumchukua Pirlo, na mpaka sasa mazungumzo ya mkataba mpya yamewekwa kando.
Huyu mzee tutamnyonya mavi safari hii!
 
Huyo ndio Marrota na Conte wake. Timu inacheza vibaya msimu huu. wenyewe ndio wanaona timu nzurii. Amakweli tunatofautiana mitazamo. Tevez yule ilibidi aambiwe azurure tu uwanjani maana jinsi wanavyomchezesha ni majanga tu. Yan nikimwangalia Gelvinho anavyocheza roma ROHO inaniuma sana.

Mie nna hofu kama tutapita hatua ya makundi kwenye Champions League, team inawachezaji watatu tu wanaoamua matokeo ya mchezo, kamata Bonucci, Pirlo na Vidal then umekamata Juve nzima, then mtu anafikiria kutuletea upuuzi kama Coentrao, sijui wa nini?
 
Pogba: Juventus will beat Real Madrid at least once
By Mark Doyle

The fearless France international says he is not remotely frightened by the prospect of having to pick up points from the double-header with los Blancos

Paul Pogba says he is not in the least bit afraid of Real Madrid, claiming that Juventus will win "at least" one of its upcoming Champions League clashes with the Spanish giants.

The Bianconeri have drawn its opening two games in Group B, against Copenhagen and Galatasaray, meaning it must pick up points in the double-header against los Blancos if it is to have a real chance of progressing to the knockout stages.

On paper, it looks like a daunting task, but Pogba is not in the least bit perturbed by the prospect of first travelling to the Santiago Bernabeu on October 23 in search of a positive result.

"There's nothing to fear," the 20-year-old France international told Gazzetta dello Sport. "We will beat Real at least once and we will go forward.

"We are Juve; we must never forget that. Because of the history, prestige and quality of this club, we are inferior to no one. And for this reason, Real Madrid do not scare me. Juventus is on the same level of all the European greats.

"We can even win in Madrid."

Just over a year after leaving Manchester United for Juventus, Pogba has established himself as one of the most exciting young midfielders in the game.

However, he says all the praise he is currently receiving will not go to his head, as he has two perfect role models at Juventus in Andrea Pirlo and Gianluigi Buffon.

"I'm still nobody; What have I done? Nothing at all," the France international reasoned. "I look at Pirlo and Buffon, and I learn about what it is to be a true champion.

"Those two have won it all, they are monsters, but they do not give an inch - not even in training."

Even though he only arrived in Turin last summer, there has been speculation that Pogba could soon be lured away by another member of Europe's elite, with even Madrid mentioned as a possible destination.

The Under-20 World Cup winner freely admits that he does not know what the future holds for him, but is still keen to reassure Juventus fan that he is loving life in Italy.

"Certain promises are meaningless," Pogba mused. "How can someone today make an hypothesis on an entire career? I don't take anyone for a ride.

"And so, I look at the present and I say that I 'm happy here in Turin. I love everything about this club: directors, coaches, teammates and fans. And, at the moment, I do not see anywhere else other than Juventus."
 
Upuuzi huu, tena wa hali ya juu

Champions Juventus were left stunned by a 15-minute Giuseppe Rossi hat-trick as Fiorentina stormed back from a 2-0 half-time deficit to claim a dramatic 4-2 win at a rocking Stadio Artemio Franchi.
Juventus appeared to be coasting to a fifth consecutive Serie A success when Carlos Tevez and Paul Pogba netted shortly before the interval.
However, the game was turned on its head in a stunning burst after Rossi netted a 66th-minute penalty.
The Italy international then levelled on 76 minutes before a totally unmarked Joaquin fired the hosts ahead moments later.
Rossi then completed his hat-trick, and a barely believable win, when he finished a counter-attack on 81 minutes.
Unsurprisingly the 26-year-old left the pitch to wholehearted applause when coach Vicenzo Montella opted to retire him to the bench moments later.
Defeat was Juve's first in the league since February and their first in Florence for 15 years.
There was no sign of what was to come, though, when Juve scored twice in three minutes at the end of the first half.
Tevez won and converted a debatable 37th-minute penalty after contact with Gonzalo Rodriguez, before Pogba headed into an empty net after Juan Guillermo Cuadrado scooped an awkward-looking diving clearance into the Frenchman's path.
But after Antonio Conte's side controlled the first half, the defensive ills which marked their Champions League home draw with Galatasaray before the international break were cruelly exposed.
Kwadwo Asamoah started the rot when he was caught on the wrong side of Matias Fernandez and a tangle of legs brought the Fiorentina man down.
Rossi fired the spot-kick just out of Gianluigi Buffon's reach.
The leveller was not far away and there was little Buffon could do about it as Rossi expertly picked his spot with a well-hit shot across him from the edge of the area.
Juve were now suddenly rocking and there was not a defender in sight when Borja Valero slid a pass to Joaquin, who had more than enough time to take a touch and score from 12 yards.
Rossi then confirmed the win when he curled in his hat-trick after Cuadrado broke and fed him the ball at the top of the area.
 
Siku ya leo haikua nzuri kabisa kwangu, nyumbani mpaka half time tulikua mbele kwa goal tatu, GOAL TATU!
Huko majuu mpaka half time tulikua kifua mbele kwa Bao Mbili.

Jumatano huko Santiago Bernabeu sijui itakuaje, hata sitaki kujua. Ngoja nijipoze na Bacardi + Embassy, nikalale
USENGErema huu!

cc: juve2012, Gang Chomba, bologna
 
Last edited by a moderator:
Siku ya leo haikua nzuri kabisa kwangu, nyumbani mpaka half time tulikua mbele kwa goal tatu, GOAL TATU!
Huko majuu mpaka half time tulikua kifua mbele kwa Bao Mbili.

Jumatano huko Santiago Bernabeu sijui itakuaje, hata sitaki kujua. Ngoja nijipoze na Bacardi + Embassy, nikalale
USENGErema huu!

cc: juve2012, Gang Chomba, bologna

we acha tu!hatuna wakurugenzi wala kocha Juve.nishagundua very serious administrative and technical problem!ngoja nikashangilie river plate kwa muda manake ulaya pachungu!
 
Last edited by a moderator:
we acha tu!hatuna wakurugenzi wala kocha Juve.nishagundua very serious administrative and technical problem!ngoja nikashangilie river plate kwa muda manake ulaya pachungu!


teh teh leo hii Duka limegeuka Genge?
Yakhe kweli leo hii Conte mavi matupu?
 
teh teh leo hii Duka limegeuka Genge?
Yakhe kweli leo hii Conte mavi matupu?

Chomba bana, uliandika Pirlo kumbe wamaanisha Conte, Conte sio mavi tu, ni uharo ule, kapuuzi kweli kale kajamaa, sie wakufungwa na team ya Florence? Fiorentina? Huku kile kimbilimo kikipiga matatu?
Kama sio usengerema basi ni uhanithi huu, maaanina!
 
Back
Top Bottom