Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Kikosi cha Bianconeri kwa leo

1Gianluigi Buffon
19Leonardo Bonucci
3Giorgio Chiellini
15Andrea Barzagli
8Claudio Marchisio
23Arturo Vidal
21Andrea Pirlo
22Kwadwo Asamoah
20Simone Padoin
27Fabio Quagliarella
10Carlos Tevez


Substitutes
30Marco Storari
Goalkeeper
16 Marco Motta
Defender
14Fernando Llorente
Forward
5 Angelo Ogbonna
Defender
12Sebastian Giovinco
Midfielder
34 Rubinho
Goalkeeper
11Paolo De Ceglie
Defender
33Mauricio Isla
Midfielder
13 Federico Peluso
Defender
6 Paul Pogba
Midfielder
 
Tevez anawanyanyasa beki wa Milan na kuwalazimisha wacheze faulo

Dk 17, Juve 1-1 Milan
 
Nunda Mexes off with a red card, halafu chuma cha tatu kutoka kwa Chiellini baada ya free kick nzuri ya Pirlo

Juve 3-1 Milan, dk 77
 
Watu wazima leo wameshikwa vibaya,wanachezewa nusu uwanja.kweli Milan kushney!tunambwela tu tungepiga hata tano!
 
Chomba ana haki ya kupata homa,yaani Milan ovyo bora hata ile timu aliyochezea Chomba zamani inaitwaje vile Mourinho
 
Last edited by a moderator:
Leo hata sina hamu ya kumtania Chomba manake hapa hana timu.hakuna upinzani kabisa!timu mbooovu.beki zao za kati akina Zapata hawaelewani na Conte kawaona akawaingizia "panya" Giovinco.
 
Back
Top Bottom