Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
juve wanazingua sana .natazama mechi na chievo,tatizo lile lile,hatuwezi kufungua timu ilinayocheza defence.chievo wanatusumbua on counters na walipiga bao la pili refa kawanyima.sie kazi ni kutengeneza chances bila kuzitumia.timu zote zinatujua sasa kila anayekutana nasi anakaa nyuma,anapiga counters.i'm fustrated.
Kaka pole na frustration but at least we are winning pamoja na kwamba hatuchezi vizuri, na hii ndio sifa ya a great team, kupata matokeo wakati mnacheza vibaya.
Mimi nna imani sana na kikosi hiki.
BTW, Gang Chomba asije kuwa kapatwa na ugonjwa wa moyo, we need to keep a close eye on him!
ndugu zangu mie nipo na kihoro moyoni...
Maana hili jukwaa la michezo ndo jukwaa langu boora kabisa ambalo huwa nakuwa nalo huru pindi tu napoingia JF...
Lakini hii AC Milan inavyonitenda najiona kama nina RB na sitakiwi kukanyaga humu.
Ila dah wanasema ''Mswahili lake Sokoni, na Muungwana lake rohoni''...mie mwanakwetu langu rohoni.
Nina imani soon ntarudi katika winning truck...

Pole sana!
Haya na me nimerudi home, hiyo fixture list ya october umeiangalia vizuri juve2012?
Galatasaray na Milan, home na nna uhakika wa maximum points hapa, halafu kuna away fixtures za Fiorentina na Madrid, hapo sasa itabidi umuone mtabiri wako, Ziroseventytwo
Wakuu tumeshinda leo. Daah, sema msimu huu kama kiwango kimepungua hivi. Kila nikiangalia mechi zetu naona kama Conte anachelewa kufanya maamuzi. Juve hatuwezi kabisa kutumia wachezaji wa pembeni. Quagliarela anamwacha nje. Cros azipigwi. kiukweli leo tumeshinda ila nimeumia sana na kiwango tulichokionesha.