Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mourinho nilishakuambia Juve mwaka huu tuna tatizo kubwa.hatuna mawinga kwa hiyo mabeki wanapanda sana kupeleka mashambulizi hadi wanapoteza defensive concentration.jambo hata comentators wanaliongea juve wako static uwanjani.hawafungui vyumba haraka kwa hiyo wakikutana na timu zinakaba sana na kujaa nyuma huwa hawatembei.hata goli la Bonucci sababu ni hiyo.amepewa mpira akakabwa,hakuwa na mtu wa kumpa mpira karibu,akalazimisha pasi kwa Buffon aliyelazimika kuacha goli wazi kufungua chumba kwa Bonucci.balaa naliona hapa lichsteiner aliyekuwa akiwasumbua Galatasaray katolewa kaingia Isla..
Mkuu tukubali tu timu ina tatizo kubwa.mie nimeanza kushabia juve 1992 nimeshuka nayo daraja,niko nayo hadi sasa,naongea kwa hasira kuwa hii timu ina kasoro kubwa.kama tutaendelea hivi,tusahau makombe mwaka huu,tena najiuliza,mbona Juve ilikuwa ikicheza agresively chini ya makocha wale wasaidizi?kuna Psychological problems na tactical problems kwa Conte uwanjani.wachezaji wamerelax,hawako mobile na wanapoteza mipira ya mwisho sana.forward tunayo lakini viungo wetu hawawezi kuitumia.kwa hali hii tuna shughuli na Madrid!acha tu niachane na fikra za makombe mwaka huu ili roho yangu itulie.hii Juve iko inconsistent,haiaminiki.ngoja nikalale mkuu nimechafuka kichwa vibaya,stupid kabisa!
Juve 2012, yan mm ndio nimedata kabisa. Simuelewi Conte kwa nn hafanyi marekebisho ya mfumo japo kwenye mechi za UEFA tu. Huu mfumo ni majanga tu mwaka huu. Sema ninaimani mechi na Madrid tutapata point tatu.
Mkuu tukubali tu timu ina tatizo kubwa.mie nimeanza kushabia juve 1992 nimeshuka nayo daraja,niko nayo hadi sasa,naongea kwa hasira kuwa hii timu ina kasoro kubwa.kama tutaendelea hivi,tusahau makombe mwaka huu,tena najiuliza,mbona Juve ilikuwa ikicheza agresively chini ya makocha wale wasaidizi?kuna Psychological problems na tactical problems kwa Conte uwanjani.wachezaji wamerelax,hawako mobile na wanapoteza mipira ya mwisho sana.forward tunayo lakini viungo wetu hawawezi kuitumia.kwa hali hii tuna shughuli na Madrid!acha tu niachane na fikra za makombe mwaka huu ili roho yangu itulie.hii Juve iko inconsistent,haiaminiki.ngoja nikalale mkuu nimechafuka kichwa vibaya,stupid kabisa!
Nimefyum hapa, we acha tu, sijui huo usingizi kama utakuja leo.
Ngoja niamshe na valuer hapa, labla ntapata usingizi hata wa masaa ma4
Tunatumia huo mfumo kwa vile hatuna mawinga wazuri hasa kulia
Nimefyum hapa, we acha tu, sijui huo usingizi kama utakuja leo.
Ngoja niamshe na valuer hapa, labla ntapata usingizi hata wa masaa ma4
Kuna Kanga zimeandikwa ''HATA UKINUNA LAKUFANYA HUNA''
Wakuu wote mko sahihi kwa mnachozungumza hapa kwani hata media za italia zilimbana Conte jana kuhusu mfumo wa Juve unaotabirika na hivyo wapinzani kuja na negative approach ambayo inawasaidia.Haya ndio amejibu Conte:"WE CAN CHANGE SOMETHING TO SURPRISE OUR OPPONENTS DURING THE GAME,BUT THESE ARE OUR TACTICS.IN THE SQUAD I ONLY HAVE PEPE WHO CAN ALLOW US TO PLAY 4-3-3.BASED ON THE PLAYERS AT MY DISPOSAL,I TRY TO PUT THEM IN THE BEST CONDITION TO PLAY.I DON'T THINK I COULD USE LICHTSTEINER OR ISLA UPFRONT IN A 4-3-3.UNFORTUNATELY PEPE HAD THIS INJURY AND WE DON'T HAVE THE RIGHT TYPE OF WINGERS IN THE SQUAD".ndio hiki ambacho wote tunazungumza hapa na kocha nae analalamikia hicho hicho kwamba anashindwa kuifundisha timu mifumo mingine kwa vile hana wachezaji wa kuicheza na analalamika hana viungo wa pembeni zaidi ya PEPE.Hili ni tatizo kila mdau wa Juve duniani na hata hapa Jf tulizungumzia wakati wa usajili tena Chomba alilipigia kelele sana hili lakini Marotta hakusikia.kumsajili Tevez na Llorente bila viungo wazuri ni sawa na kununua Buggati Veyron na Lamborghini Veneno halafu hela ya mafuta huna.Hivi wadau nauli ya kwenda Turin ni dola ngapi?niko radhi kupoteza muda niende huko nikageuze kile kipara cha Marotta kuwa Tumba za msondo ngoma,mjinga huyu mzee kabisa!Hii ni Juve,timu kubwa ambayo nafasi yake ni champions league finals na serie a tittles,sio Sampdoria mjinga huyu mzee,dah,wadau ngoja leo nipotee humu nisije kula ban.!Napoli,Milan na hawa nao aaargh!bad week!
Vamos Juventus...