Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Leo hata sina hamu ya kumtania Chomba manake hapa hana timu.hakuna upinzani kabisa!timu mbooovu.beki zao za kati akina Zapata hawaelewani na Conte kawaona akawaingizia "panya" Giovinco.

Wanavyocheza hata Sassuolo wana afadhali
 
Leo hata sina hamu ya kumtania Chomba manake hapa hana timu.hakuna upinzani kabisa!timu mbooovu.beki zao za kati akina Zapata hawaelewani na Conte kawaona akawaingizia "panya" Giovinco.

Pogba kwa mara ya pili mfululizo anazingua, hilo goal lake

Juve 3-2 Milan, dk 90+4
 
Upumbavu gani anafanya Pogba?hivi wana shida gani hawa wapumbavu?
 
Upumbavu gani anafanya Pogba?hivi wana shida gani hawa wapumbavu?

Dogo kaanza kuota mapembe, anakaa na mpira sana, match na Galatasaray hivyohivyo, tulikosa nafasi nyingi za magoal kwa sababu ya utoto wake
 
Full Time, Juventus 3-2 Milan

Ila bado tunakazi sana, team ya kawaida sana

Forza Bianconeri
 
Nimechukia sana mkuu.huu upumbavu wa wachezaji wa Juve unanitia hasira.tumeshinda lakini Pogba kanichefua sana.kaniharibia ushindi wote!mkuu bado tuna safari ndefu.saikolojia ya wachezaji wa Juve inatia hofu.------- kabisa!mss!@Mourinho nimekasirika sana na upuuzi wa Pogba!mie hii timu ya Conte hainiridhishi kwa kweli nikiwakumbuka akina Ferrara,Toriceli,Thuram,Tarchinardi,Pesotto,Canavaro,Montero na iron defence zetu za miaka ya nyuma na discipline yao uwanjani,hawa akina Pogba naona uchafu tu!
 
Mpuuzi kabisa huyo dogo, juzi alikua na maamuzi ya ajabu sana, leo tena kawazawadia Milan goal from nowhere,

Conte anahitaji kubadili mfumo wa uchezaji, team mbovu sana, tukikutana na Roma na Napoli si itakua balaa

Huko Ulaya naanza kupata wasiwasi kama tutavuka kwenye makundi
 
Full Time, Juventus 3-2 Milan

Ila bado tunakazi sana, team ya kawaida sana

Forza Bianconeri

kabisa mkuu.mwaka huu sijui!mie naona mwali anaenda Rome au Naples!Juve itafute tatizo ni kwa nini wachezaji wana overconfidence inayowaondolea determination uwanjani!pamoja na makosa mengine ya kiufundi,mie naona mlima mkubwa sana kuupanda inahitaji mabadiliko.leo tumeshinda kwa ubovu wa Milan na wala si uzuri wetu!UEFA tukivuka group phase tushukuru Mungu.
 
Naona tumeandika post zinafanana mawazo.huo ndio ukweli,Roma,Napoli ulaya maumivu tupu.
 
kabisa mkuu.mwaka huu sijui!mie naona mwali anaenda Rome au Naples!Juve itafute tatizo ni kwa nini wachezaji wana overconfidence inayowaondolea determination uwanjani!pamoja na makosa mengine ya kiufundi,mie naona mlima mkubwa sana kuupanda inahitaji mabadiliko.leo tumeshinda kwa ubovu wa Milan na wala si uzuri wetu!UEFA tukivuka group phase tushukuru Mungu.

Definitely, leo tume capitalize kwenye makosa ya Milan, hakuna cha maana tumefanya

Leo Vidal alikua Chile, kazi ikabaki kwa Pirlo, tunamtegemea sana huyu mzee halafu kina Marota wanasuasua kumpa mkataba mpya, na usijekushangaa akaondoka

Team mbovuuu, itakua miujiza kama tutatetea scudeto
 
whaat?wanajifikiria kumpa mkataba nani?Pirlo?mkuu ukisikia jengo la Juve pale Turin limetekwa nyara na magaidi waambie sio al shababy wala nini bali ni mie na wahuni wangu tumeenda kuzaa na Marotta!
 
whaat?wanajifikiria kumpa mkataba nani?Pirlo?mkuu ukisikia jengo la Juve pale Turin limetekwa nyara na magaidi waambie sio al shababy wala nini bali ni mie na wahuni wangu tumeenda kuzaa na Marotta!

Ntakuunga mkono na mguu Mkuu, ndio maana kuna match Pirlo alitolewa sub akaenda straight to the dressing room, halafu Conte akaja na story zake eti ooh analeta sheria mpya kupiga marufuku kitendo kama hicho kujirudia

Na Pirlo ni mtu muumgwana sana, katulia sana kama hana tatizo la mkataba, kina Buffoni ndio wanamtetea na kuongea na media, yeye yupo kimyaa
 
Juventus plan Andrea Pirlo talks
Ben Gladwell, Italy Correspondent

Talks over the future of Andrea Pirlo will take place early next year, according to Juventus’ general manager Beppe Marotta, who denies the player is unsettled with the Bianconeri.

Pirlo went straight to the dressing room when he was substituted during his side’s win over Hellas Verona at the weekend, prompting coach Antonio Conte to invoke new rules dictating that all players who leave the field must sit on the bench to watch the remainder of the game.

The Italy international’s current contract expires in the summer and clubs around Europe are monitoring the situation in Turin for a sign that the 34-year-old may be available on a free transfer, but Marotta says everything is going according to plan and contract negotiations will take place in the new year.

"There is no issue with Pirlo at all," he told Tuttosport. "At the end of the day, Pirlo has not done anything untoward. We’ve spoken with him (over a new contract), serenely, and we said that we’ll talk again in February or March."

Before the season started, Pirlo said he would decide his future in the summer anyway. "I'm definitely going to carry on playing, but we'll have to see where," he told Gazzetta dello Sport. "I've already spoken to my club, and we will decide at the end of the season. My priority is Juve, but I don't want to be a burden on anybody. The years go by and there's nothing that says that I have to stay just because I'm Pirlo. I want to feel I'm important and crucial to the side's success, otherwise I'll leave."

According to John Elkann, the president of Fiat, Juve’s biggest backer, Pirlo is anything but a burden on the Old Lady. "I have no comment regarding the rumours from Spain or England or anywhere else," he said on Thursday. "Pirlo is a great player and our squad has been strengthened and the aim is to keep it this way."

cc: juve2012
 
Last edited by a moderator:
Mkuu juve2012
Mie ngoja niwaangilie Boca Juniors na mfalme Roman Riquelme, nahisi ntasahau maudhi ya Pogba
 
Last edited by a moderator:
Hali yetu mbaya sana, sipendi hata kidogo namna tunavyocheza, tukifika kwenye final third, tunaishiwa options, tunaishia kupiga vi-side passes tu!

Shukuru tu unaziokota point za ubwete mapema...
Ila hali ya Juve sio hii iliokuwa inazungumzwa hapa kabla ligi haijaanza...
 
Back
Top Bottom