Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Napoli vs Wolfsburg,Fiorentina vs Dynamo Kiev.
Hahahahahahahaaaa, Violla bana hawana adabu kabisa, juzi wamemshikisha adabu mtu mzima flan hivi, leo wamewashikisha ukuta wale washenzi wa Roma
Hawa Roma wamepatwa na nini? Kuna kitu hakipo sasa pale clubuni kwao. Hii club si imechukuliwa na mwekezaji? Afanye mabadiliko makubwa akichukuwa ushauri kwa watu kama Sacchi, Lippi na kina Cappello. Ovyo kabisa
Mourinho wee!njoo umuone pweza wetu wa kijerumani kapatia utabiri huku!huyu pweza ni hatari!ngoja tuanze kula kuku manake nusu fainali tumeshaingia.
Mourinho wee!njoo umuone pweza wetu wa kijerumani kapatia utabiri huku!huyu pweza ni hatari!ngoja tuanze kula kuku manake nusu fainali tumeshaingia.
Mourinho wee!njoo umuone pweza wetu wa kijerumani kapatia utabiri huku!huyu pweza ni hatari!ngoja tuanze kula kuku manake nusu fainali tumeshaingia.
hakika Shifta alifikisha salam za pongezi kwenu ndugu zangu...
nami kwa uungwana zaidi nawapa tena pongezi
Hongereni sana..
Mkuu kwa haraka haraka unaweza ukasema umeshaingia nusu fainal....lkn kwa mtazamo wangu hizi timu za Ufaransa sio za kubeza hata kidogo. hasa hawa Monaco ingawa unaweza sema PSG ni wazuri kuliko Monaco lkn mashindano ya UEFa ni magumu sn na timu zinajiandaa sn....ngoja tuone ingawa waitali nao wana sifa zao babkubwa ktk hatua za mitaona km hii.
Kaumia Pirlo na Pogba
Mtaiondoa Monaco lkn baada ya hapo mhhhhh
hao watawasumbua wasichana wenzao bana...
juve msimu huu kakipata kitu alichokitafuta kwa muda sana. juve amemtafuta Dortmund tangu 97...
na alipomkamata nadgani umeona jinsi Dortmund alivyoondoka huku akiwa kalowa masaburi...
sasa next ni kombe ambalo tangu 96 hajalibeba.
juve kwa sasa watacheza huku wakiwa na umakini wa hali ya juu coz ni wazi wanalitaka kombe hili ili heshima ile ya Juve ipate kurudi...na si tu heshima ya Juve bali ni heshima ya Serie A
Ntuzu sabato njemaJuve anaweza kupata matokeo mabaya akiwa kwake ktk huo mchezo na hao Monaco kwasababu nimeona timu zinapokua Away ndio zinafanya vzr sn....
Nafikiri Juve kuingia Fainali ya UEFA ya mwisho ni zaidi ya kumi iliyopita pale walipoingia na Ac Milan.....na pia nafikiri wakati ule hizi timu za Italy zilikua imara sn maana wakati huo ata Waitaly wenyewe walikua wana vipaji vingi sn na wanacheza mpira wa kufa mtu....na km unakumbuka hizo timu kubwa wakati huo zilikua tatu Internazionale, Ac Milani na Juve....hizi timu ndio zilikua chachu ya timu ya taifa ya Italy ile iliyo sumbua sn pale Ujerumani na kuchukua kombe la Dunia mwaka 2006.
Hivi vita ni vigumu kwa Juve safari hii ingawa km wataweka nguvu na kurudisha ile hari iliyokuwepo wakati ule basi tunaweza kuiona Juve ikifika mbali...
Mnaweza mkasukuma nje Monaco lkn Monaco watakuja wakiwa tofauti sn tena sio km hawa waliocheza juzi na Arsenal...
juzi Pirlo hakuwepo then Pogba akaumia mapema tu mpira ukiwa 1-0...
je kilichotokea ulikiona?
juve timu pana sana...usipate mawazo
Ntuzu sabato njema
Tuwe wakweli tu, Monaco ni team mbovu sana, sikutegemea Arsenal atolewe na hawa vibonde kwa kweli. Sisi tunawaza tutakutana na nani kwenye semis na si bao ngapi tutawakamulia hawa vilaza
Nijema sn mkuu na ina mambo mema.
Nakubali kua Monaco ni timu mbovu lkn kwa kawaida ya haya mashindano timu zinajiandaa vzr sn na kumsoma adui sn...kwahiyo tusichukulie kua tutawasukuma nje tu hawa Monaco....PSG kwa chelsea ilikua ni km hivi ata mimi mwenyewe nilikua nafahamu kabisa kua PSG tutawatoa pamoja na kua PSG ni wazuri kuliko Monaco lkn haya mashindano ni magumu sn mkuu.
Juve ana nafasi kubwa km ilivokua kwa Arsenal lkn mambo yalikua tofauti mkuu kwa Arsenal
Anyway, tusiseme mengi tusubiri tuone hapo baada lkn kwa sasa hizi hatua mambo ndo yatakua magumu sn.