Watu wa Barca huwa mnajiona watakatifu sana, wakati na nyie wale wale. Mlimzingua the versatile Yaya Toure ili kum-accomodate swahiba Mu-Argentina wa mungu wenu; mkamzingua mtu aliyekuwa ana-guarantee 25+ goals kila season kumu-accomodate superstar Zlatan ambaye mlimchukua ili asiende Madrid; mkamzingua Zlatan kumu-accomodate the then Spain's favorite son, David Villa ili asiende Madrid; mnamzingua Pedro kumu-accomodate Neymar ambaye mlifanya yote ili tu asiende Madrid; mlimrudisha Fabregas ili kuwa mrithi wa 'mushroom expert' Xavi, Fab mkamfukuza kwa dharau, mkamleta Rakitic ili asiende Madrid; Thiago Alcantara mlimzingua, Xavi Hernandez, mnamzingua. Abidal mlimfanyia uhuni, mkakausha kumuongezea mkataba japo mlimuahidi toka mwanzo.
Kifupi Barca ni wachafu balaa, na ndio maana mnapenda kupaka wenzenu matope. Much worse, mmekuwa snitches, mmechonga FIFA eti tuchunguzwe na sisi, smh.
Tunajua uchafu wenu pia, so tukinyamaza msituone mabwege.