Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Binafsi ningependa Pogba auzwe the earlier the better, nampenda dogo hasa anachokifanya uwanjani lakini kashajiona super star, kawa nyangema anatembea kama ana majipu kwenye masaburi
Ni bora tumuuze mapema kwa pesa ya kutakata kwa hiyo oil-club tukachukue vichwa pale Dortmund na dogo Dybala, sijui wadau mnalionaje hili Ziroseventytwo TUPACified everlenk Ntuzu Belo Gang Chomba juve2012 Salamander b5-click MosDef bologna myao wa tunduru Viper na wengine wote mpaka Aleyn
Nakubaliana na wewe last season nilisema ulikuwa wakati muafaka wa Juventus kumuuza Arturo Vidal mlikuwa na uhakika wa kupata pauni mil 35-40 lakini kitendo cha kulazimisha kumbakiza alivyopata majeruhi tu thamani yake imeshuka sana.Kwa Pogba hamkosi 45-60 so huu ni wakati mzuri PSG,Real Madrid,Barca na Man City wapigane vikumbo still Juve wana msuli wa kuchukua mchezaji yeyote hapo Serie A (Pjanic,Dyabala) na bado mna uwezo wa kusajili wazoefu kutoka ligi nyingine
 
-Verati akienda Madrid namshauri Pogba aende PSG. Na kama akienda PSG basi kuna kiungo mmoja ataondoka.
-Dogo asiende Real, hii timu ya kipuuzi sana sababu Kila mchezaji atakaewika basi wao watamtaka, kwahiyo akija mwingine akiwika kiliko Pogba basi Pogba tumsahau kupata Namba tena. Ona hata Bale jinsi anavyotupiwa milawama, kanunuliwa kwa pesa kubwa ila hata dakika hii fans wanatamani aondoke.
-Pogba aende Barca, huku namba atapata na atawika. Barca inahitaji kiungo mzuri kwa mda huu, Xavi na Iniesta tayari zama zao zimeanza kupotea, kwahiyo akienda kule uhakika wa Namba atapata kama kwa Suarez.
-Juve ikifanikiwa kumuuza waende kwa Dortmund wakanunue yule kiumbe aitwaye Gundogan. Safi sana hii mashine.
 
Binafsi ningependa Pogba auzwe the earlier the better, nampenda dogo hasa anachokifanya uwanjani lakini kashajiona super star, kawa nyangema anatembea kama ana majipu kwenye masaburi
Ni bora tumuuze mapema kwa pesa ya kutakata kwa hiyo oil-club tukachukue vichwa pale Dortmund na dogo Dybala, sijui wadau mnalionaje hili Ziroseventytwo TUPACified everlenk Ntuzu Belo Gang Chomba juve2012 Salamander b5-click MosDef bologna myao wa tunduru Viper na wengine wote mpaka Aleyn

Pogba anataka kwenda kucheza Paris, na hiki ndo kipindi cha kuchukua hela, msisubiri misimu mingine miwili mpaka avunjwe vunjwe watu waogope kutoa milioni nyingi. Ukiuza Pogba unapata hela ya kununua madogo wengine 3, ndio unajenga timu.
 
Kwanini na nyie msiuze Ronaldo kabla hajazeeka sana? Maana umri ndo unakimbia hivyo, nguvu na spidi mda wowote vitaanza kushuka.
 
Binafsi ningependa Pogba auzwe the earlier the better, nampenda dogo hasa anachokifanya uwanjani lakini kashajiona super star, kawa nyangema anatembea kama ana majipu kwenye masaburi
Ni bora tumuuze mapema kwa pesa ya kutakata kwa hiyo oil-club tukachukue vichwa pale Dortmund na dogo Dybala, sijui wadau mnalionaje hili Ziroseventytwo TUPACified everlenk Ntuzu Belo Gang Chomba juve2012 Salamander b5-click MosDef bologna myao wa tunduru Viper na wengine wote mpaka Aleyn

Yani mkuu umenena kweli.. dogo amekua blazameni sana, hatukatai ni mkali uwanjani lakini daah.. ni bora akasepa tena wakati huu huu ambao PSG watashawishika kutoa mshiko wa kutosha... mnakumbuka tulivo wapa D.LUIZ.. wapeni PP mpate pesa ndefu aseeh
 
Last edited by a moderator:
-Verati akienda Madrid namshauri Pogba aende PSG. Na kama akienda PSG basi kuna kiungo mmoja ataondoka.
-Dogo asiende Real, hii timu ya kipuuzi sana sababu Kila mchezaji atakaewika basi wao watamtaka, kwahiyo akija mwingine akiwika kiliko Pogba basi Pogba tumsahau kupata Namba tena. Ona hata Bale jinsi anavyotupiwa milawama, kanunuliwa kwa pesa kubwa ila hata dakika hii fans wanatamani aondoke.
-Pogba aende Barca, huku namba atapata na atawika. Barca inahitaji kiungo mzuri kwa mda huu, Xavi na Iniesta tayari zama zao zimeanza kupotea, kwahiyo akienda kule uhakika wa Namba atapata kama kwa Suarez.
-Juve ikifanikiwa kumuuza waende kwa Dortmund wakanunue yule kiumbe aitwaye Gundogan. Safi sana hii mashine.

Hahahahah.... baba everlenk naona unavutia uzi kwako.. unataka bishoo mwingine!? Neymar anawatosha, endeleeni na Rakitic na Sergio mkuu.

RMA mabishoo wengi pale.. kama blazameni isco, PP hata asithubutu kwenda huko.. nitafurahi kumuona PSG au CITY.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini na nyie msiuze Ronaldo kabla hajazeeka sana? Maana umri ndo unakimbia hivyo, nguvu na spidi mda wowote vitaanza kushuka.

Hahahahah... swali la kichokozi hili Aleyn ni sawa na nyie kuulizwa kwann msimuuze Kiumbe wa ajabu..

Mimi naona Bale asepe aje EPL.. amenunuliwa pesa mingi afu daaah..
 
Last edited by a moderator:
Kwanini na nyie msiuze Ronaldo kabla hajazeeka sana? Maana umri ndo unakimbia hivyo, nguvu na spidi mda wowote vitaanza kushuka.

Sijui ushabiki au unaongea vitu usivyovijua! Kwa taarifa yako Cristiano hata akiamua kutundika daruga kesho, ashalipa deni lake na kashaingiza faida kubwa. Real Madrid inatengeneza na kuuza wachezaji na inapata faida kwa hilo pia.
 
-Hayo mambo ya kulipa deni yamekujaje, kuna mtu kasema hajalipa deni au kuna mtu ambae hajaona mchango wa Ronaldo kwa Madrid!!!
-Subiri miaka 2 au 3 kama hutakuja kulalamika kiwango chake.
 
-Verati akienda Madrid namshauri Pogba aende PSG. Na kama akienda PSG basi kuna kiungo mmoja ataondoka.
-Dogo asiende Real, hii timu ya kipuuzi sana sababu Kila mchezaji atakaewika basi wao watamtaka, kwahiyo akija mwingine akiwika kiliko Pogba basi Pogba tumsahau kupata Namba tena. Ona hata Bale jinsi anavyotupiwa milawama, kanunuliwa kwa pesa kubwa ila hata dakika hii fans wanatamani aondoke.
-Pogba aende Barca, huku namba atapata na atawika. Barca inahitaji kiungo mzuri kwa mda huu, Xavi na Iniesta tayari zama zao zimeanza kupotea, kwahiyo akienda kule uhakika wa Namba atapata kama kwa Suarez.
-Juve ikifanikiwa kumuuza waende kwa Dortmund wakanunue yule kiumbe aitwaye Gundogan. Safi sana hii mashine.

Barca wana adhabu kusajili mpaka Jan 2016 ndio maana wameshindwa kuwauza Pedro,Alves na Xavi so sidhani kama Pogba atafika kipindi hicho.Man City wanataka kujenga timu upya,Mourinho anataka kuimarisha timu na PSG wanataka kumrudisha Pogba Paris na Madrid wapo pia
 
Binafsi ningependa Pogba auzwe the earlier the better, nampenda dogo hasa anachokifanya uwanjani lakini kashajiona super star, kawa nyangema anatembea kama ana majipu kwenye masaburi
Ni bora tumuuze mapema kwa pesa ya kutakata kwa hiyo oil-club tukachukue vichwa pale Dortmund na dogo Dybala, sijui wadau mnalionaje hili Ziroseventytwo TUPACified everlenk Ntuzu Belo Gang Chomba juve2012 Salamander b5-click MosDef bologna myao wa tunduru Viper na wengine wote mpaka Aleyn
Pogba ni bonge ya mchezaji, sema anahitaji attitude adjustment ili akamilike, vinginevyo hatafika mbali. Nadhani hiyo ni moja ya sababu ilimfanya akashindwa kucheza United. Hopefully, with age atabadilika for the better.
 
Last edited by a moderator:
-Hayo mambo ya kulipa deni yamekujaje, kuna mtu kasema hajalipa deni au kuna mtu ambae hajaona mchango wa Ronaldo kwa Madrid!!!
-Subiri miaka 2 au 3 kama hutakuja kulalamika kiwango chake.
Mpaka sasa Cristiano ameshaanza ku-slow down, ila image yake bado muhimu sana for the club, + he offers goals and a fear-factor advantage. Kuuzwa kwa sasa si rahisi, unless atake mwenyewe, which pia si rahisi kwa sasa.
 
Pogba ni bonge ya mchezaji, sema anahitaji attitude adjustment ili akamilike, vinginevyo hatafika mbali. Nadhani hiyo ni moja ya sababu ilimfanya akashindwa kucheza United. Hopefully, with age atabadilika for the better.

Hapa napata news alert kuwa Ilkay Gundogan won't renew his contract with BD, kuna wachezaji wawili pale BD nawafagilia sana,
Ukimuacha huyo mturuki kuna machine pale ambayo huwa naona ni underrated kwa wengi, Henrikh Mkhitaryan, huyu no.10 ni bora kabisa kule Bundasliga. Anarahisisha sana kazi ya wafungaji ndio maana unaona hata dogo Aubamayang anatupia almost kila game. Pogba atembee halafu leta hii machine au hata Gundogan
 
Yani mkuu umenena kweli.. dogo amekua blazameni sana, hatukatai ni mkali uwanjani lakini daah.. ni bora akasepa tena wakati huu huu ambao PSG watashawishika kutoa mshiko wa kutosha... mnakumbuka tulivo wapa D.LUIZ.. wapeni PP mpate pesa ndefu aseeh

Halafu kama umenotice, hatujatetereka hata kidogo kwa kukosekana kwake sanasana kuna madogo kama Pereyra wamepata nafasi ya kuonesha uwezo wao.

Unaangalia namna ambavyo Tevez anajituma na kujitoa kwa ajili ya team halafu unashangaa kinda kama hili linateatea wakati ndio muda wake wa kukaza, ajifunze kwa Balloteli. Huko PSG kuna watu kama Pastore,Cabaye hawana namba za kudumu, halafu kuna mpiga kazi anaitwa Matuidi hapo kwenye kiungo, ajishike sana
 
-Verati akienda Madrid namshauri Pogba aende PSG. Na kama akienda PSG basi kuna kiungo mmoja ataondoka.
-Dogo asiende Real, hii timu ya kipuuzi sana sababu Kila mchezaji atakaewika basi wao watamtaka, kwahiyo akija mwingine akiwika kiliko Pogba basi Pogba tumsahau kupata Namba tena. Ona hata Bale jinsi anavyotupiwa milawama, kanunuliwa kwa pesa kubwa ila hata dakika hii fans wanatamani aondoke.
-Pogba aende Barca, huku namba atapata na atawika. Barca inahitaji kiungo mzuri kwa mda huu, Xavi na Iniesta tayari zama zao zimeanza kupotea, kwahiyo akienda kule uhakika wa Namba atapata kama kwa Suarez.
-Juve ikifanikiwa kumuuza waende kwa Dortmund wakanunue yule kiumbe aitwaye Gundogan. Safi sana hii mashine.
Watu wa Barca huwa mnajiona watakatifu sana, wakati na nyie wale wale. Mlimzingua the versatile Yaya Toure ili kum-accomodate swahiba Mu-Argentina wa mungu wenu; mkamzingua mtu aliyekuwa ana-guarantee 25+ goals kila season kumu-accomodate superstar Zlatan ambaye mlimchukua ili asiende Madrid; mkamzingua Zlatan kumu-accomodate the then Spain's favorite son, David Villa ili asiende Madrid; mnamzingua Pedro kumu-accomodate Neymar ambaye mlifanya yote ili tu asiende Madrid; mlimrudisha Fabregas ili kuwa mrithi wa 'mushroom expert' Xavi, Fab mkamfukuza kwa dharau, mkamleta Rakitic ili asiende Madrid; Thiago Alcantara mlimzingua, Xavi Hernandez, mnamzingua. Abidal mlimfanyia uhuni, mkakausha kumuongezea mkataba japo mlimuahidi toka mwanzo.

Kifupi Barca ni wachafu balaa, na ndio maana mnapenda kupaka wenzenu matope. Much worse, mmekuwa snitches, mmechonga FIFA eti tuchunguzwe na sisi, smh.

Tunajua uchafu wenu pia, so tukinyamaza msituone mabwege.
 
Ni kweli Mpwa, Pogba akirogwa kwenda Madrid itakua kama nyie mlivyoua kipaji cha Song. Bado hana qualities za kukamata dimba la Los Blancos, naona anazidiwa sana tactical ability na Veratti na sidhani kana Madrid wana hutaji la mtu wa nafasi ya Pogba ( Salamander will correct me on this) maana tayari wanaye maestro Kroos
Pogba aende PSG au England, iwe Man City, Chelsea, Arsenal au Liverpool huko kote atajengeka vizuri na hao wote watatupa mchuzi mzuri wa kuimarisha Bianconeri
 
Last edited by a moderator:
Hapa napata news alert kuwa Ilkay Gundogan won't renew his contract with BD, kuna wachezaji wawili pale BD nawafagilia sana,
Ukimuacha huyo mturuki kuna machine pale ambayo huwa naona ni underrated kwa wengi, Henrikh Mkhitaryan, huyu no.10 ni bora kabisa kule Bundasliga. Anarahisisha sana kazi ya wafungaji ndio maana unaona hata dogo Aubamayang anatupia almost kila game. Pogba atembee halafu leta hii machine au hata Gundogan
Henrik Mkhitaryan, kila siku namwambia mchizi wangu mmoja kwenye group kwamba, jamaa angekuwa anacheza Arsenal au timu yoyote ya Premier, angekuwa anapigiwa kelele za kiungo bora. Jamaa anaujua mpira.

Sema kama wachezaji wa BvB wana gundu hivi, wana-shine home tu, wakitoka wanasua sua. Sahin alikamua sana misimu miwili ya mwisho kabla ya kwenda Madrid na kuchemka, Kagawa pia. Waangalie Lewy na Gotze wanavyo-struggle, Lewy kaanza kuchezeshwa kwa sababu ya price tag yake tu, ila kuna games kibao Pep alikuwa anamchomesha mahindi. Gotze mpaka leo anasubiria watu waumie.
 
Watu wa Barca huwa mnajiona watakatifu sana, wakati na nyie wale wale. Mlimzingua the versatile Yaya Toure ili kum-accomodate swahiba Mu-Argentina wa mungu wenu; mkamzingua mtu aliyekuwa ana-guarantee 25+ goals kila season kumu-accomodate superstar Zlatan ambaye mlimchukua ili asiende Madrid; mkamzingua Zlatan kumu-accomodate the then Spain's favorite son, David Villa ili asiende Madrid; mnamzingua Pedro kumu-accomodate Neymar ambaye mlifanya yote ili tu asiende Madrid; mlimrudisha Fabregas ili kuwa mrithi wa 'mushroom expert' Xavi, Fab mkamfukuza kwa dharau, mkamleta Rakitic ili asiende Madrid; Thiago Alcantara mlimzingua, Xavi Hernandez, mnamzingua. Abidal mlimfanyia uhuni, mkakausha kumuongezea mkataba japo mlimuahidi toka mwanzo.

Kifupi Barca ni wachafu balaa, na ndio maana mnapenda kupaka wenzenu matope. Much worse, mmekuwa snitches, mmechonga FIFA eti tuchunguzwe na sisi, smh.

Tunajua uchafu wenu pia, so tukinyamaza msituone mabwege.

Teh teh teh, na skendo zao chafu za milungula kwenye usajiri wa wachezaji kama Neymar, nasikia kama itawekwa bayana, the actual price of Neymar ni kubwa sana kuliko ile ya Bale
Mpwa Aleyn njoo ujitetee hapa, ita na familia kabisa everlenk
 
Last edited by a moderator:
Henrik Mkhitaryan, kila siku namwambia mchizi wangu mmoja kwenye group kwamba, jamaa angekuwa anacheza Arsenal au timu yoyote ya Premier, angekuwa anapigiwa kelele za kiungo bora. Jamaa anaujua mpira.

Sema kama wachezaji wa BvB wana gundu hivi, wana-shine home tu, wakitoka wanasua sua. Sahin alikamua sana misimu miwili ya mwisho kabla ya kwenda Madrid na kuchemka, Kagawa pia. Waangalie Lewy na Gotze wanavyo-struggle, Lewy kaanza kuchezeshwa kwa sababu ya price tag yake tu, ila kuna games kibao Pep alikuwa anamchomesha mahindi. Gotze mpaka leo anasubiria watu waumie.

Bwana wee, kuna wachezaji wanakua overlooked kwa kweli, huyu Mkhitaryan nilianza kumpenda toka yupo Shakhtar Donetsk, Liverpool wakambwelambwela naye mpaka akatua Dortmund. Jamaa anajua sanaaa, yaani hawa ordinary no.10s wanaosifiwa kwenye ligi makelele kina Ozil, Oscar, Mata hawamgusi hata kidogo
Hao jamaa naweza sema walifanya wrong choices, unapoenda Madrid, Bayern au Man United ujue unaenda kwenye clubs kubwa kabisa duniani, pressure ya kufanya vizuri ni enormous and a stiff competition for first IX positions
Gotze sijui ni utoto au ulimbukeni, mashavu ya Bayern kuna Robben na Ribery, Sahin alikua mjinga kudhani atachukua namba kwa Alonso na Khedira, Kagawa hakupewa nafasi kwa kweli, ila Lewandoski ni kubaniwa tu, jamaa yuko vizuri sana, kama Ibra alibaniwa na Pep hata sishangai kwa Lew
 
-Hayo mambo ya kulipa deni yamekujaje, kuna mtu kasema hajalipa deni au kuna mtu ambae hajaona mchango wa Ronaldo kwa Madrid!!!
-Subiri miaka 2 au 3 kama hutakuja kulalamika kiwango chake.

What are you arguing here? Real Madrid ndio destiny na ndoto zake zimetimia pale, sasa auzwe aende wapi ambako kiwango akiwezi kushuka, Barcelona? Au hujui wakongwe kama Raul, Beckham, Zizou na wengineo wengi walimalizia mpira wao pale. Sasa hivi tuna Casillas kiwango kinashuka sasa utalalamika nini? Au hujui unataka kusema nini labda?
 
Back
Top Bottom