Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
Di Marzio saying you're in talks with PSG and Cavani's represantatives..
I know Teves is leaving, but tayar msha-beba Dybala, so sioni sababu ya cavani, kwan Re-buy clause ya Morata ikoje?? RMA washapiga hodi?? Kama bado sioni mantiki ya kumsajili cavani wakat Morata bado yupo..
Mkuu wangu MosDef, akiondoka Carlitos tutabaki na hao watoto tu, Dybala na Morata ambao kwa nature ya club na ligi yetu wanaweza kuchukuliwa na clubs mingine wakati wowote
Lakini tukimpata Cavani moja tunaongeza depth in our squad lakini pili tunakua na mchezaji matured anayeweza kukaa nasi kwa muda mrefu bila kuwa na wasiwasi kua labla ataondoka kesho
Sidhani kama Real watamtaka Morata leo au kesho, itabidi awe na msimu super zaidi ya huu ili arudi Bernabeu, so for now he's staying put, Dybala bado hatujajua kama ataendeleza makali yake so namkaribisha Cavani kwa mikono miwili, Llorente amekua flop tu, arudishwe kwao Bilbao
Last edited by a moderator: