Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Mazembe ni mateam ya EPL, huwa wananunua wachezaji kwa bei za kufuru na mishahara ya kufuru pia, mshahara wa Pogba ukienda EPL utakuta analipwa mtoto wa Academy

Harafu wanachokicheza jeee!!??
 
Twende mbele turudi nyuma, nyie Madrid wazembe sana, hivi ni kweli mnashindwa kumuuza Bale kwa pesa ambayo Man U wanatoa au Chelsea kisha mkasahili Wing nyingine nzuri kuliko yule jamaa. Mpira anaocheza na pesa yake haviringani kabisa.

Bale hawezi kuuzwa this soon brother, kufanya hivyo itakuwa ni kaburi kwa Perez. Lazima atawekwa kikaangoni ili kuelezea kwanini alitoa kiasi chote alichotoa kwa Bale kama hakumwamini, atapata shida kui-convince bodi kuhusu usajili mkubwa mwingine. Bale atabebwa ang'are tu, ashindwe ye mwenyewe.
 
Hahahahaha kuna MwanaJf mmoja kasema Timu kama Stoke City ilipaswa ipelekwe katika mieleka na sio kwenye uwanja wa mpira wa miguu. Nilicheka sana aseee!!!!

Kwa kuipondea EPL sikuwezi ngoja Man U tumerudi tutarudisha heshima..... Tehe tehe .....
 
kweli una mahaba na huyu kibaka Mourinho, yeye ndo kaanza kusema EPL ni kukimbizana na kusukumana, mbona yeye hujamquote!? Dota wangu kipenzi, achana na huyu muhuni, atakuharibia ndoa yako, nisikilize mimi baba yako, nimeona mengi sana chini ya jua.
 
Last edited by a moderator:

Ama kweli leo umeshinda buguruni, wewe endeleza siasa zako za majitaka ila kesho me na everlenk tunaingia kanda ya kati kuwashuhudia Bianconeri wakichukua ubingwa wa Ulaya
 
kwahiyo na yeye Juventus!!??
 
Last edited by a moderator:
kweli una mahaba na huyu kibaka Mourinho, yeye ndo kaanza kusema EPL ni kukimbizana na kusukumana, mbona yeye hujamquote!? Dota wangu kipenzi, achana na huyu muhuni, atakuharibia ndoa yako, nisikilize mimi baba yako, nimeona mengi sana chini ya jua.
Mourinho mwanetu huwa anakuja kutupa support mitaa yake ni Chelsea na Liver usifikiri tumejuana mtaa wa Juve? Shauri yako wewe piga majungu utachekwa.......... Lakini wewe babangu ukipita mitaa yetu ni kuachia kicheko kwa binti yako tena siku hiyo nakuwa nimeumizwa utanicheka weeee mpaka uridhike.
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo na yeye Juventus!!??

Kwani sisi ni maadui ? tena game likiisha tunaingia game letu la kupongezana, kufarijiana na kufurahia kombe kwa pamoja kwa atakayeshinda hiyo ni Mourinho vs everlenk..........daddy uwivu umekushika ehh? Toroka uje.......lol
 
Ahahaha namjua huyu Mourinho tangu kitambo sana humu, muhuni tu huyu.
 
Last edited by a moderator:
Kwani sisi ni maadui ? tena game likiisha tunaingia game letu la kupongezana, kufarijiana na kufurahia kombe kwa pamoja kwa atakayeshinda hiyo ni Mourinho vs everlenk..........daddy uwivu umekushika ehh? Toroka uje.......lol

Mourinho ushamharibu mwanangu, ona majibu anayonipa!!! Dota umenikera sana yaani sijui hata nikufanyeje.
 
Last edited by a moderator:
Mourinho ushamharibu mwanangu, ona majibu anayonipa!!! Dota umenikera sana yaani sijui hata nikufanyeje.

Oh!! Daddy samehe mimi,daddy n dota are friends...... Kesho tu daddy nipo mikono salama........ Sasa tunahesabu masaa tu kombe lije Spain.....hapa najua utacheka na nimesamehewa...lol

#VamosBarca
#ForzaJuve
 
Last edited by a moderator:
Oh!! Daddy samehe mimi,daddy n dota are friends...... Kesho tu daddy nipo mikono salama........ Sasa tunahesabu masaa tu kombe lije Spain.....hapa najua utacheka na nimesamehewa...lol

#VamosBarca
#ForzaJuve

forzaJuve imetokea wapi sasa kama una_wish kombe lije spain wewe mtoto unasumbua sana cc PNC 1.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom