Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nino fine thanks ah nishajifunza nimemuomba mungu msamaha! Hehehe ah siku zile Wenye kazi zao walikuwa majukwaa ya siasa hawakuwa na muda na upuuzi ah nasubiri Rogers kuondolewa lasivyo hizi CL nitakuwa natizama za watu Kama kutizama TV kwa jirani.
Mimi naomba daddy wangu Aleyn apaone hapa maana alianza kuicheka sana Juve.............Hewala asanteee swt kwa kunirudisha kwenye mood.
Hahahahha pole sana hivi siku ile ulikuwa hujatupia mambo yetu yaleee maana sentensi zilikuwa nzito sana......tatizo nyie mnaweza kuivumilia ndoa aiseee!!! Naskia BR kapewa mechi 5 asipofanikiwa ni bye bye....usijali Hapa ndo Home kwako Kwenye CL utakuwa unawasindikiza Juve taratibu.
Teh teh teh, nilikukaba wapi au nilikubaka lini? Serious unataka kujua alichonipendea mwanao?
Me sijatembelea hawa jamaa zangu kule kina MosDef, Janjaweed, Malafyale na majogoo wote maana najua 'mudi' siyo mzuri kule kama ilivyokua hapa kwetu, shukrani kwa matokeo ya leo tutakunywa na maji
Anyway soka linaharibiwa na kiasi kikubwa cha pesa kilichopo siku hizi pamoja na milingula wanayokula kina Blatter, pamoja na kushangilia matokeo ya leo sijaona kitu ambacho ntalala natamani nikione tena ndotoni, sijaona mafundi wa kuchezea mpira, mafundi wa chenga, kanzu, dalizi, tobo, mashuti ya wanaume waliokula wakashiba ila nimeona machezaji yanayocheza kama maroboti tu
Utamu kwenye soka unakwisha kila uchao, watoto hapa ilikua mvutano, wao wanataka kusikiliza UKAWA mie sielewi kitu na Bianconeri yangu, mpaka najiuliza hawa watoto wanapata wapi hamu ya siasa kuliko kabumbu?
Kwa hiyo ndugu zangu wa Liverpool hata siwasikitii sana, hata siku nikiacha kuchangia humu wala msishangae, yamebaki mazoea tu ila lile soka tumekua tunaliona halipo, ndio maana kina Cristiano Ronaldo na wao ni wachezaji bora wa dunia kwa sababu mafundi wa kiwango cha Riquelme tu hawapo dunia nzima

Ulinichukulia Nokia Asha yangu, kijana mkabaji wewe.
Uwiiii siku ukiacha sweet utaniua, twende hivyo hivyo tutafika tu mdogo mdogo......Sweet mpira siku hizi Hamna kabisa hata kule kwenye chimbo lenyewe la mpira America ya kusini vipaji vimekuwa Nadra sana sikuhizi pesa inatuharibia utamu wa soka. Hao watoto nimewapenda bureeee .....lol.
To be fair, City were lucky to have held the lead at all Kompany clearly fouling Giorgio Chiellini for the opening goal after 57 minutes.View attachment 287315
View attachment 287316
View attachment 287317
View attachment 287318
View attachment 287319
Na Gang Chomba naye aje hapa kunipa shikamoo yangu, wapi herrera?