Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Mwisho wa mahesabu ni 4- 2 , babu alishatuambia hii ngoma ya Italy haikeshi huku walikogawana bara letu pendwa
 
Mpira hakuo fair watu wameutafuta kwa tochi alianz wameshinda Nina huzuni kubwa sana siku nzima bayrn hakustahili
 
Pamoja na kutolewa kibibi kizee cha turin kimepambana vilivyo ni huzuni kutoka kwa game ilivyokuwa ukikumbuka game ya kwanza buyern waliitawala sana watu wakajua game ndo imeisha.Wakaze buti na kama hawatapokonywa wachezaji wao mahiri msimu ujao watakuwa timamu zaidI.
 
poleni sana aisee....niliangalia livescores dk ya 70 mnaongoza 2-0 nikalala nikajua bayern nje!Nashangaa asubuhi habari ni juve nje...lazima iwasikitishe sana kwakweli.Nini kilitokea aisee?
 
Duhhhhhh Yaani UEFA ndo imewafanya mkimbie jukwaa hivi doohhh ..... hongereni kwa kuchukua Copa Italia kwa Mara nyingine double double [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Dah kwa kweli UEFA was everthing even though we made HI5STORY, wth five scudetto lkin continental thing ingerudisha heshima italy we were only few coefficient point like 3 points turudi position zetu nne for UEFA, th only hpe was juve & napoli but surprisingly napoli was knocked out from europa na saa hiv i don thnk w can catch up wth coefficient point maana England imebebwa na LIVER in europa,

iliuma san ile defeat ya bayern una lead two goals the 92 mins mpo sawa
 
MILAN – 13 years ago today, May 28 2003, the Rossoneri won their sixth European Cup after beating Juventus in the all-Italian final.
Old Trafford, Manchester was the scene for the Rossoneri’s moment of glory but the contest would go right down to the wire with the game ending 0-0 after extra time.
The Rossoneri however held their nerve when it mattered most and won the shoot-out 3-2 thanks to successful spot-kicks from Serginho, Nesta and Shevchenko.
This is how Milan lined-up that night: Dida; Costacurta, Nesta, Maldini, Kaladze; Gattuso, Pirlo, Seedorf; Rui Costa; Inzaghi, Shevchenko.
Also on this date, but in 1969, the club won its second European Cup by overcoming Ajax 4-1 in the final. This is how the Rossoneri lined-up that night: Cudicini, Anquilletti, Schnellinger; Rosato, Malatrasi, Trapattoni; Hamrin, Lodetti, Sormani, Rivera, Prati.
 
Daah nakumbuka ile mechi kesho yake nlisemwa sana shuleni

Hahahaa, miaka hyo
 
Back
Top Bottom