Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Real Madrid timu ya kwanza kulinyakua kombe hili mara mbili mfululizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na picha nilishazidownload kwenda kuchafua jukwaa la madrid. Kilichoniuma zaidi ni Ronaldo kuchukua Ballon nyingine.Dady daahh!! Acha tu leo tumfariji tu Mou yaani daaahh!! Inaumizaa!!......... Ila na nyie Barca nyie ndo wachawi mlikamia sana Juve ashinde mumcheke RM matokeo kibao kimegeuka!!
Tunajua, nenda kalale sasa.Real Madrid timu ya kwanza kulinyakua kombe hili mara mbili mfululizo
Ayaaaa!!! Ndo nimetokaaa......Na picha nilishazidownload kwenda kuchafua jukwaa la madrid. Kilichoniuma zaidi ni Ronaldo kuchukua Ballon nyingine.
Usionekane kwenda kutoa pongezi ule mtaa maana wewe kwa kujipendekeza hujambo.
Halafu kipindi cha kwanza Juve walikuwa wana advantage, wangeweza hata kuwatafutia red card real Madrid sema basi tu hawana watu wanaojua kucheza kihuni kama ramos!Yaani hilo ndo lilikuwa kosa kubwa sana daaah!! Dybala anavyolia i feel him.... amekula kiatu sana kipindi cha kwanza,alicheza kwa kujituma anyway ndo mpira huo!! Kila unaporuhusu kosa ndo goli.
Pole dady bana hili soka tu usimind wala nini!! Ndo hivyo mwaka wake huo haipingiki take it easy...... kuwa fixed tu!! Spain mwenzio amekulipia kisasi hahah (uwiii napigwa huku)Na picha nilishazidownload kwenda kuchafua jukwaa la madrid. Kilichoniuma zaidi ni Ronaldo kuchukua Ballon nyingine.
Usionekane kwenda kutoa pongezi ule mtaa maana wewe kwa kujipendekeza hujambo.
Kichwa kibaya kama Pepe.Ayaaaa!!! Ndo nimetokaaa......
Yap!! Beki ya Leo imezingua aisee,labda huenda walikuwa wanamshangaa Philip Inzaghi.Lakini kwa upande mwingine juve nao wamajitakia!! Beki zao zimekatika sana Leo utafikiri walikuwa hawachezi na real Madrid na higuan nae sijajua ni kwanini kacheza dakika zote zile
Nenda zako London!! ..... upo best?? Missing you.... naona mwaka wako kote kote ng'ari ng'ari!!!Yessss
Dadyyyyyy!!!!!!!! Nitake radhi yaani mimi nina kichwa kama Pepe uwiiiiiii!! Na utakuwa huli mahari yangu....!!Kichwa kibaya kama Pepe.
Shangaa hata wewe!!Mmebana kwa barca mmekuja kuwa mdebwedo kwa Madrid. Mmeniudhi sana
Nakwambia siku watakayo nyakua kikombe hiki haitasimulika.Juventus la maledizione di champion continua(jinamizi la fainali kwa juventus linaendelea...
Uwiiii dady please!! Embu usikate kwa rohoooo!! Mie dauta wako iko bado kukuhitaji sana pleaseeeeee!! Take it easy banaaaa!!!.....maumivu yaache kwenye TV...... duhhh leo ninalo huku dady huku mupenzi!!Mwili haupo vyema Wakuu, najihisi kuchoka mara kutapika, yaani kama Mjamzito vile.
Everlenk ni_PM.
Marking ya Leo ilikuwa mbovu sana na tangu first half.Yap!! Beki ya Leo imezingua aisee,labda huenda walikuwa wanamshangaa Philip Inzaghi.
Kwa mbali D.alves Leo alikuwa anachechemea.
Nenda zako London!! ..... upo best?? Missing you.... naona mwaka wako kote kote ng'ari ng'ari!!!
Weeee!!! Uwiii matusi hayo sasa!! Tuwasamehe ndo soka lilivyo kupoteza ni fasta siku hazilingani!!Shangaa hata wewe!!
Kama vile usiku wa kabla ya mechi wamelala na akina Jasmine Webb wa brazzers brazzers.