Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Tulieni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe, sikujuaBaadhi ya vyama vya mpira vimeanza kutumia VAR tokea mwanzoni mwa msimu wa ligi kuanza mfano Ligi ya ujerumani na ligi ya italia
wengi mnaweka hii still picture kuhalalisha penati ile.je,huo mkono ulimsukuma?huo mkono una kilo ngapi kumuangusha ndani ya impact ambayo haikudumu hata sekunde mbili?mkuu weka moving picture(video) ujiumbue!
Scudeto imekua on tena. Juve anamechi ngumu sana zilizobaki, I think mechi ijayo anacheza na Inter then atacheza na Bologna, Roma alafu anamaliza na Verona. Hapa muhimu ni kuwaza mechi na Inter tu. Kuhakikisha timu inashinda iwe uwanjani au nje ya uwanja. Nachofurahi mechi ya mwisho napoli anacheza na kibaraka wetu Crotone alafu anapambana asishuke daraja. Kaeni kwenye TV jamani Lega Calcio mechi hizi za mwisho ipo hot balaa.
Mechi bado nne kiongozi. Wiki hii tuna mechi na Inter Giuseppe Meaza pale. Baada ya hapo tutacheza na timu anayoshabikia Baba yangu Bologna FC pale ndio kipo Chuo kikuu kikubwa na Kikongwe duniani. Mechi ya tatu tutacheza na watoto wa Papa As Roma, mwisho kabisa tunamaliza na Helas verona. FORZA JUVENTUS. Napoli yy atacheza na Fiorentina, Sampdoria, Torino na Crotone ya Trotta na Madragora.
Ndio mpira Ulivyo man. Napoli wanahisi washachukua ubingwa. Ila hii ngoma si mchezo, Usishangae Viola au Sampdoria mmoja wapo akatoa nae sare.Juve wamezingua hata sikutarajia.
Mkuu kwa spirit ya Napoli wanaweza beba ndoo. Naona Allegri hayuko serious.Ndio mpira Ulivyo man. Napoli wanahisi washachukua ubingwa. Ila hii ngoma si mchezo, Usishangae Viola au Sampdoria mmoja wapo akatoa nae sare.
Mkuu kwa spirit ya Napoli wanaweza beba ndoo. Naona Allegri hayuko serious.