Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Mkuu Gang Chomba. Conte akifanya hivi, Bayern lazima afe. Sema utaona madudu atakayofanya siku hiyo. Ukiona kikosi hiki agiza kahawa unywe.

Bufon

Barzagli Bonucci Chielini

Kwado Pirlo De Ceglie

Pogba Marchisio

Qugliarela Vucinic
 
vucinic 2-pescara 1.shughuli ya scudetto inaelekea ukingoni.ila huyu Vucinic hana adabu,wenzie wanavua jezi wakishangilia wanapewa njano,yeye akaamua kusaula bukta nzimaa,kabakisha "nepi" tu,na bado kala njano!akiifunga Bayern goli ntazima tv madogo wasione kitakachoendelea!
 
we support juve but this s too much...
544716_648049438555622_108689067_n.jpg
 
Barca kachomoa baada ya Messi kuingia na jamaa wamepoteana washakubari matokeo.
 
To our Scudeto Mkuu

Hata hiyo, Juve imefanya zaidi ya ku-qualify for the champions league.

Finally, Viper aliyeanzisha hii thread aje aifunge kwa kutoa conclusion.

It is all over. Sorry.
 
Last edited by a moderator:
Barca kachomoa baada ya Messi kuingia na jamaa wamepoteana washakubari matokeo.

Ila wanafungika hawa, PSG waanze kucheza kitaliano watawafunga hawa, team gani is build around one man?
 
Painful to watch for any Juve fan. Goli nne?
 
Painful to watch for any Juve fan. Goli nne?

kila la kheri Bayern.mmemuonyesha Marotta makosa yake.soka ya leo ni pesa tu.kama unataka consistency ya matokeo mazuri you have to invest!hakuna miujiza.tuachane na usajili wa expired contracts.tusajili wachezaji wanaogombaniwa na kila mtu..FULL STOP!
 
Back
Top Bottom