Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
kwa hiyo milani wamecheza game 11 alama 12. Hii ni kama sare kila mechi.
Wamecheza mechi 10, wameshinda 3, droo 3, wamefungwa 4, GD 0, wanapoints 12
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo milani wamecheza game 11 alama 12. Hii ni kama sare kila mechi.
Angalau huku Mie na Viper tunapatana Juventus inafanya kweli Leo Kule Viper nilitamani nimpe vichwa(ndoo) zile bao 2-0 sina Hamu. Milan ngoma Yao ngumu hehehe.
Jumanne?
ah!huyu mchina naye ananisumbua!kumbe post zinakuja bwana!sorry jnne mkuu
Jamani Gang Chomba nimemuona MMU anachati na Heaven On Earth. Sasa sijui kama amesahau kwamba kunauzi wa Ac Milan unamuhusu.
Asante sana Cerci kwa kusawazisha. Huyu Roma akijaku2achia usukani wa ligi nadhani atajuta kuzaliwa.
Mkuu mourinho hawa roma wanatupa changamoto tu. Ila ubingwa ni wetu. Roma wakianza kupoteza tu hata mechi moja hapo ndio wataanza kukiona kikosi chao kidogo. Utaniambia mechi ijayo wanavyosuluhu tena.