Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

Sio makosa yake, ni Premier-face, so ligi zingine kwao hawazifuatilii, 'hazina ushindani'.

Ukiwa sio fan wa EPL ulimwengu utakulazimisha tu uifuatilie... ila ukiwa fan wa EPL dunia haikulazimishi ufatilie hizo Ligi nyingine

back to topic...

mkongwe ni mkongwe tu siku zote, ila natarajia kroos atafurukuta.

Pepe kiukweli hana cha kumwambia Apache.. kuanzia ktk kabumbu, uhuni na hata ubabe.

Hao makocha shida tu... kwangu hakuna ambaye ni fundi sana hapo.

Ramos na Vidal.. shughuli pevu hii.. lakini Ramos akikaza atamsukuma Vidal.

Mbabe na Aende Fainali.
 
Hahaha!!! Daddy mwenyewe unanicheka hizi mechi 3 nilizolala, sina daddy miye......

Tatizo Dota huwa unaipaisha Man U na nikikwambia nakushangaa kuishabikia Man U unaona kama nakuzingua. Sasa Man U ikifungwa huwa nakufikiriaga wewe tuu.
 
Ukiwa sio prem-face, tayari una independent mind ya kutoyumbishwa na kelele za ulimwengu.

On the topic, Fair enough, m'babe na apite.
 
Tatizo Dota huwa unaipaisha Man U na nikikwambia nakushangaa kuishabikia Man U unaona kama nakuzingua. Sasa Man U ikifungwa huwa nakufikiriaga wewe tuu.

Sawa daddy, subiri turudi kwenye form utatupenda mwenyewe.......
 
Ni kwel kabisa ulichosema katika uchambuzi wako huu,naunga mkono hoja..kwenye goli kule ndo wametuzidi tu ila kwingine watakaa..hala madrid
 
pirlo atawafunika tu hawa watoto, pirlo kidigo akikutana na iniesta ndo anafunikwa, nasema hivi sio kama mimi ni mpenzi wa berca
 
pirlo atawafunika tu hawa watoto, pirlo kidigo akikutana na iniesta ndo anafunikwa, nasema hivi sio kama mimi ni mpenzi wa berca
Pirlo vs Iniesta? Kweli we ni mpenzi wa berca, ungekuwa mpenzi wa Barca ningeshangaa.
 
Sioni timu yakutuzuia kuchukua ndoo kwa mara ya pili mfululizo....Hala madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…