Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

Sio makosa yake, ni Premier-face, so ligi zingine kwao hawazifuatilii, 'hazina ushindani'.

Ukiwa sio fan wa EPL ulimwengu utakulazimisha tu uifuatilie... ila ukiwa fan wa EPL dunia haikulazimishi ufatilie hizo Ligi nyingine

back to topic...

mkongwe ni mkongwe tu siku zote, ila natarajia kroos atafurukuta.

Pepe kiukweli hana cha kumwambia Apache.. kuanzia ktk kabumbu, uhuni na hata ubabe.

Hao makocha shida tu... kwangu hakuna ambaye ni fundi sana hapo.

Ramos na Vidal.. shughuli pevu hii.. lakini Ramos akikaza atamsukuma Vidal.

Mbabe na Aende Fainali.
 
Ukiwa sio fan wa EPL ulimwengu utakulazimisha tu uifuatilie... ila ukiwa fan wa EPL dunia haikulazimishi ufatilie hizo Ligi nyingine

back to topic...

mkongwe ni mkongwe tu siku zote, ila natarajia kroos atafurukuta.

Pepe kiukweli hana cha kumwambia Apache.. kuanzia ktk kabumbu, uhuni na hata ubabe.

Hao makocha shida tu... kwangu hakuna ambaye ni fundi sana hapo.

Ramos na Vidal.. shughuli pevu hii.. lakini Ramos akikaza atamsukuma Vidal.

Mbabe na Aende Fainali.
Ukiwa sio prem-face, tayari una independent mind ya kutoyumbishwa na kelele za ulimwengu.

On the topic, Fair enough, m'babe na apite.
 
Tatizo Dota huwa unaipaisha Man U na nikikwambia nakushangaa kuishabikia Man U unaona kama nakuzingua. Sasa Man U ikifungwa huwa nakufikiriaga wewe tuu.

Sawa daddy, subiri turudi kwenye form utatupenda mwenyewe.......
 
View attachment 249375 View attachment 249378
Hii tie itaamuliwa na hao watu wawili ambao ndio go-to men wa timu zao. Wanacheza role moja, majukumu yao yanafanana, na wana vitu vingi vinaendana; ukizungumzia utulivu, umakini, ufundi, utaratibu, maarifa n.k. Kifupi hawa jamaa ndio perfect definition ya deep-lying play-maker. Nadhani Toni ataibuka mshindi wa hii battle since Pirlo umri umemtupa na Toni bado ana juice ya kutosha na inaongezeka kila siku. It will be another Kroosing adventure.

Battles Nyingine:

Vidal vs Ramos: The bull vs The Metador. Chances are, Ramos atacheza kama kiungo mkabaji pia leo, Vidal ni box-2-box. Uzuri wa hapa ni kuwa wote ni vichwa moto, kama kuna red basi itakuwa hapa.

Tevez vs Pepe: The bulldog vs The badass K-9.

Allegri vs Ancelotti: No dis-respect kwa my brothers Mourinho na Ziroseventytwo, ila Allegri sio Coach. Juve imefika ilipo kwa auto-pilot toka alipoondoka Conte. Allegri ni wale ambao unawaambia ‘you know you’re in trouble, but more trouble if you don’t know what the hell you’re in trouble for’. Na tulikutana na Juve ya Conte last season, wakalazimisha draw moja, wakalala game ingine.

History: Juve wanapenda kutaja Nedved, si tunataja Predrag Mijatovic. Capisce?

Kifupi tumewazidi Juve kila kitu, isipokuwa kwa Goal-keeper na kwenye direct set-pieces za Pirlo, ila nina matumaini ya kushinda bila tatizo. Talk is always cheap, but I have cojones to support mine; Real Madrid akifungwa game yoyote kwenye hii tie na Juve, au kushindwa kufika Final, then nipigwe ban mpaka mwakani kwenye hatua kama hii, cc Invisible . Mwenye ubavu na anayedhani tofauti naye aweke hata ban ya mwezi hapo, Gang Chomba sikusikii.....Low-key admirers wa Madrid Aleyn na everlenk mna ubavu?

Salamander, xyz123, obwato, pierre tall, na Madridistas wote, Vamonos!! Hasta el Final, Siempre Campeones, Hala Madrid!
Ni kwel kabisa ulichosema katika uchambuzi wako huu,naunga mkono hoja..kwenye goli kule ndo wametuzidi tu ila kwingine watakaa..hala madrid
 
pirlo atawafunika tu hawa watoto, pirlo kidigo akikutana na iniesta ndo anafunikwa, nasema hivi sio kama mimi ni mpenzi wa berca
 
11136163_883010591745879_6091799623942328811_o.jpg
 
pirlo atawafunika tu hawa watoto, pirlo kidigo akikutana na iniesta ndo anafunikwa, nasema hivi sio kama mimi ni mpenzi wa berca
Pirlo vs Iniesta? Kweli we ni mpenzi wa berca, ungekuwa mpenzi wa Barca ningeshangaa.
 
Sioni timu yakutuzuia kuchukua ndoo kwa mara ya pili mfululizo....Hala madrid
 
Back
Top Bottom