weeh unamdanganya baba yako!?? Lini utarudi kwenye form mamitoh
View attachment 249375 View attachment 249378
Hii tie itaamuliwa na hao watu wawili ambao ndio go-to men wa timu zao. Wanacheza role moja, majukumu yao yanafanana, na wana vitu vingi vinaendana; ukizungumzia utulivu, umakini, ufundi, utaratibu, maarifa n.k. Kifupi hawa jamaa ndio perfect definition ya deep-lying play-maker. Nadhani Toni ataibuka mshindi wa hii battle since Pirlo umri umemtupa na Toni bado ana juice ya kutosha na inaongezeka kila siku. It will be another Kroosing adventure.
Battles Nyingine:
Vidal vs Ramos: The bull vs The Metador. Chances are, Ramos atacheza kama kiungo mkabaji pia leo, Vidal ni box-2-box. Uzuri wa hapa ni kuwa wote ni vichwa moto, kama kuna red basi itakuwa hapa.
Tevez vs Pepe: The bulldog vs The badass K-9.
Allegri vs Ancelotti: No dis-respect kwa my brothers Mourinho na Ziroseventytwo, ila Allegri sio Coach. Juve imefika ilipo kwa auto-pilot toka alipoondoka Conte. Allegri ni wale ambao unawaambia you know youre in trouble, but more trouble if you dont know what the hell youre in trouble for. Na tulikutana na Juve ya Conte last season, wakalazimisha draw moja, wakalala game ingine.
History: Juve wanapenda kutaja Nedved, si tunataja Predrag Mijatovic. Capisce?
Kifupi tumewazidi Juve kila kitu, isipokuwa kwa Goal-keeper na kwenye direct set-pieces za Pirlo, ila nina matumaini ya kushinda bila tatizo. Talk is always cheap, but I have cojones to support mine; Real Madrid akifungwa game yoyote kwenye hii tie na Juve, au kushindwa kufika Final, then nipigwe ban mpaka mwakani kwenye hatua kama hii, cc Invisible . Mwenye ubavu na anayedhani tofauti naye aweke hata ban ya mwezi hapo, Gang Chomba sikusikii.....Low-key admirers wa Madrid Aleyn na everlenk mna ubavu?
Salamander, xyz123, obwato, pierre tall, [MENTION=90004][/MENTION] na Madridistas wote, Vamonos!! Hasta el Final, Siempre Campeones, Hala Madrid!
Nimemfuatilia Pirlo sana misimu hii miwili ya mwisho, na nimemfuatilia Toni sana toka ame-join Madrid. Wengi wanasikia tu au wanajua alichoweza kufanya Pirlo waliyemjua Euro '12, hawajui anachoweza na asichoweza kufanya sasa.Pirlo ni chata lingine kabisaaaaaa....... TUPACified anajifariji tu kwamba ni mzee kwamba damu inayochemka Kroos itamkimbiza.
View attachment 249375 View attachment 249378
Hii tie itaamuliwa na hao watu wawili ambao ndio go-to men wa timu zao. Wanacheza role moja, majukumu yao yanafanana, na wana vitu vingi vinaendana; ukizungumzia utulivu, umakini, ufundi, utaratibu, maarifa n.k. Kifupi hawa jamaa ndio perfect definition ya deep-lying play-maker. Nadhani Toni ataibuka mshindi wa hii battle since Pirlo umri umemtupa na Toni bado ana juice ya kutosha na inaongezeka kila siku. It will be another Kroosing adventure.
Battles Nyingine:
Vidal vs Ramos: The bull vs The Metador. Chances are, Ramos atacheza kama kiungo mkabaji pia leo, Vidal ni box-2-box. Uzuri wa hapa ni kuwa wote ni vichwa moto, kama kuna red basi itakuwa hapa.
Tevez vs Pepe: The bulldog vs The badass K-9.
Allegri vs Ancelotti: No dis-respect kwa my brothers Mourinho na Ziroseventytwo, ila Allegri sio Coach. Juve imefika ilipo kwa auto-pilot toka alipoondoka Conte. Allegri ni wale ambao unawaambia you know youre in trouble, but more trouble if you dont know what the hell youre in trouble for. Na tulikutana na Juve ya Conte last season, wakalazimisha draw moja, wakalala game ingine.
History: Juve wanapenda kutaja Nedved, si tunataja Predrag Mijatovic. Capisce?
Kifupi tumewazidi Juve kila kitu, isipokuwa kwa Goal-keeper na kwenye direct set-pieces za Pirlo, ila nina matumaini ya kushinda bila tatizo. Talk is always cheap, but I have cojones to support mine; Real Madrid akifungwa game yoyote kwenye hii tie na Juve, au kushindwa kufika Final, then nipigwe ban mpaka mwakani kwenye hatua kama hii, cc Invisible . Mwenye ubavu na anayedhani tofauti naye aweke hata ban ya mwezi hapo, Gang Chomba sikusikii.....Low-key admirers wa Madrid Aleyn na everlenk mna ubavu?
Salamander, xyz123, obwato, pierre tall, [MENTION=90004][/MENTION] na Madridistas wote, Vamonos!! Hasta el Final, Siempre Campeones, Hala Madrid!
Hahaha nakubali unavyotumia nafasi kutukumbusha kuna club inaitwa Milan. Forza Milan, wapinzani wetu wa ukweli Ulaya.hii ni Battle ya Former AC MILAN playes Carlo Ancelotti na Andrea Pirlo...
forza Milan
Unamfahamu Kweli Kroos Au Unamsikia?
nawapa pole kabisa juve kwa kipigo watakacho kipata
Pirlo vs Iniesta? Kweli we ni mpenzi wa berca, ungekuwa mpenzi wa Barca ningeshangaa.
Nimemfuatilia Pirlo sana misimu hii miwili ya mwisho, na nimemfuatilia Toni sana toka ame-join Madrid. Wengi wanasikia tu au wanajua alichoweza kufanya Pirlo waliyemjua Euro '12, hawajui anachoweza na asichoweza kufanya sasa.
Ana uwezo wa kunifanya nimeze maneno yangu tho, but until then, i'm Kroosing.
tutakachoshuhudia leo Ancelotti atatumia ukocha wake, ni kweli rodriques ni hodari atamtumia james na kroos kucheza na pirlo na sio kroos kucheza na pirlo peke yake, pia wasijisahau pepe ameshuka kiwango na teves saivi bado yuko juu, mechi itakua ngumu. kocha akifanya uzembe mnaweza kufanywa kama alivofanywa bayern kule nyumbani kwa fc porto.
ni lini Abdalah Pepe aliwahi kuwa na Kiwango?
Hahaha, Pirlo na Kroos hawatakabana moja kwa moja, wanazichezesha timu zao wakitokea deep, nachozungumzia hapa ni nani ataichezesha timu yake vyema.tutakachoshuhudia leo Ancelotti atatumia ukocha wake, ni kweli rodriques ni hodari atamtumia james na kroos kucheza na pirlo na sio kroos kucheza na pirlo peke yake, pia wasijisahau pepe ameshuka kiwango na teves saivi bado yuko juu, mechi itakua ngumu. kocha akifanya uzembe mnaweza kufanywa kama alivofanywa bayern kule nyumbani kwa fc porto.
Kibibi kimekula chumvi nyingi ujue na kina maarifa mengi ujue???
Anayesema juve anashinda either hajui mpira au hafuatilii juventus vizuri
Forza Juve
akili tu hana ila kulinda anaweza, kupata first eleven kwenye madrid ni heshima kubwa sio leo tu tangu zamani
Kwendraaa!! Uache uchonganishi ,tushakujua wewe ni bingwa mengine tuachie......