Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

View attachment 249375 View attachment 249378
Hii tie itaamuliwa na hao watu wawili ambao ndio go-to men wa timu zao. Wanacheza role moja, majukumu yao yanafanana, na wana vitu vingi vinaendana; ukizungumzia utulivu, umakini, ufundi, utaratibu, maarifa n.k. Kifupi hawa jamaa ndio perfect definition ya deep-lying play-maker. Nadhani Toni ataibuka mshindi wa hii battle since Pirlo umri umemtupa na Toni bado ana juice ya kutosha na inaongezeka kila siku. It will be another Kroosing adventure.

Battles Nyingine:

Vidal vs Ramos: The bull vs The Metador. Chances are, Ramos atacheza kama kiungo mkabaji pia leo, Vidal ni box-2-box. Uzuri wa hapa ni kuwa wote ni vichwa moto, kama kuna red basi itakuwa hapa.

Tevez vs Pepe: The bulldog vs The badass K-9.

Allegri vs Ancelotti: No dis-respect kwa my brothers Mourinho na Ziroseventytwo, ila Allegri sio Coach. Juve imefika ilipo kwa auto-pilot toka alipoondoka Conte. Allegri ni wale ambao unawaambia ‘you know you’re in trouble, but more trouble if you don’t know what the hell you’re in trouble for’. Na tulikutana na Juve ya Conte last season, wakalazimisha draw moja, wakalala game ingine.

History: Juve wanapenda kutaja Nedved, si tunataja Predrag Mijatovic. Capisce?

Kifupi tumewazidi Juve kila kitu, isipokuwa kwa Goal-keeper na kwenye direct set-pieces za Pirlo, ila nina matumaini ya kushinda bila tatizo. Talk is always cheap, but I have cojones to support mine; Real Madrid akifungwa game yoyote kwenye hii tie na Juve, au kushindwa kufika Final, then nipigwe ban mpaka mwakani kwenye hatua kama hii, cc Invisible . Mwenye ubavu na anayedhani tofauti naye aweke hata ban ya mwezi hapo, Gang Chomba sikusikii.....Low-key admirers wa Madrid Aleyn na everlenk mna ubavu?

Salamander, xyz123, obwato, pierre tall, [MENTION=90004][/MENTION] na Madridistas wote, Vamonos!! Hasta el Final, Siempre Campeones, Hala Madrid!

hii ni Battle ya Former AC MILAN playes Carlo Ancelotti na Andrea Pirlo...

forza Milan
 
Last edited by a moderator:
Pirlo ni chata lingine kabisaaaaaa....... TUPACified anajifariji tu kwamba ni mzee kwamba damu inayochemka Kroos itamkimbiza.
Nimemfuatilia Pirlo sana misimu hii miwili ya mwisho, na nimemfuatilia Toni sana toka ame-join Madrid. Wengi wanasikia tu au wanajua alichoweza kufanya Pirlo waliyemjua Euro '12, hawajui anachoweza na asichoweza kufanya sasa.

Ana uwezo wa kunifanya nimeze maneno yangu tho, but until then, i'm Kroosing.
 
hah hah ndugu yangu mi sitaki kukumiss hapa JF...so siwezi kutia neno lolote hapo
 
Last edited by a moderator:
hii ni Battle ya Former AC MILAN playes Carlo Ancelotti na Andrea Pirlo...

forza Milan
Hahaha nakubali unavyotumia nafasi kutukumbusha kuna club inaitwa Milan. Forza Milan, wapinzani wetu wa ukweli Ulaya.
 
Pirlo vs Iniesta? Kweli we ni mpenzi wa berca, ungekuwa mpenzi wa Barca ningeshangaa.

tutakachoshuhudia leo Ancelotti atatumia ukocha wake, ni kweli rodriques ni hodari atamtumia james na kroos kucheza na pirlo na sio kroos kucheza na pirlo peke yake, pia wasijisahau pepe ameshuka kiwango na teves saivi bado yuko juu, mechi itakua ngumu. kocha akifanya uzembe mnaweza kufanywa kama alivofanywa bayern kule nyumbani kwa fc porto.
 
Nimemfuatilia Pirlo sana misimu hii miwili ya mwisho, na nimemfuatilia Toni sana toka ame-join Madrid. Wengi wanasikia tu au wanajua alichoweza kufanya Pirlo waliyemjua Euro '12, hawajui anachoweza na asichoweza kufanya sasa.

Ana uwezo wa kunifanya nimeze maneno yangu tho, but until then, i'm Kroosing.

Safiii, dakika chache zijazo hatutaandikia mate tena.......
 
tutakachoshuhudia leo Ancelotti atatumia ukocha wake, ni kweli rodriques ni hodari atamtumia james na kroos kucheza na pirlo na sio kroos kucheza na pirlo peke yake, pia wasijisahau pepe ameshuka kiwango na teves saivi bado yuko juu, mechi itakua ngumu. kocha akifanya uzembe mnaweza kufanywa kama alivofanywa bayern kule nyumbani kwa fc porto.

ni lini Abdalah Pepe aliwahi kuwa na Kiwango?
 
tutakachoshuhudia leo Ancelotti atatumia ukocha wake, ni kweli rodriques ni hodari atamtumia james na kroos kucheza na pirlo na sio kroos kucheza na pirlo peke yake, pia wasijisahau pepe ameshuka kiwango na teves saivi bado yuko juu, mechi itakua ngumu. kocha akifanya uzembe mnaweza kufanywa kama alivofanywa bayern kule nyumbani kwa fc porto.
Hahaha, Pirlo na Kroos hawatakabana moja kwa moja, wanazichezesha timu zao wakitokea deep, nachozungumzia hapa ni nani ataichezesha timu yake vyema.

FYI, Pepe ndio Real Madrid's best defender for the past 2 years, Ramos stole the show kwa magoli tu. Pia Tevez akifanikiwa kupita kwa Pepe, atakuwa Varaneted kabla hajaleta madhara.
 
Anayesema juve anashinda either hajui mpira au hafuatilii juventus vizuri

wewe ndo hujui na hufuatilii mpira...shost zako hao uharo unawachuruzika huko tangu wametimba Torino
 
tangu lini kroos akalingana na ''munsinyori'' pirlo?.....aiseee...pirlo ni level nyingine
 
Kwendraaa!! Uache uchonganishi ,tushakujua wewe ni bingwa mengine tuachie......

kisa unateswa na mwanitesa utd na ww ndo unataka unitese diah!??

kiburi na jeuri unatoa wapi mamitoh... Liva huyo anataka top 4, aseno huyo anataka #2 na anakutana na ww..
 
Back
Top Bottom