Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

Miye yangu macho na masikio ntakuwa nikiwatazama nikisindikiza na papcorn...

Leo uta-enjoy mpira wa maana sana, ukiuvaa u-neutral. Marcelo, disco la Isco, stunners za James, hata riadha za Cristiano na Bale.
 
Leo uta-enjoy mpira wa maana sana, ukiuvaa u-neutral. Marcelo, disco la Isco, stunners za James, hata riadha za Cristiano na Bale.

I'm always neutral mkifanya vizuri nitakuja kuwapongeza mkichemsha sitaacha kuja kuwatupia moja ya kiutani....
 
I'm always neutral mkifanya vizuri nitakuja kuwapongeza mkichemsha sitaacha kuja kuwatupia moja ya kiutani....
Hahaha tukichemka nakuja kumeza maneno yangu na kwenda kifungoni kwa hiari immediately, but kwa Real Madrid 'if' is never an option.
 
I'm always neutral mkifanya vizuri nitakuja kuwapongeza mkichemsha sitaacha kuja kuwatupia moja ya kiutani....

Sina ubaya na Juve, lakini bi kizee kakaa kwenye reli lazima ajeruhiwe leo. Hatua ya nusu fainali kukaa mbele ya Real Madrid ni kujitafutia balaa, tuonane Berlin kama mtaweza kuwapiga Bayern.
 
Nimeoteshwa usiku wa leo Bayern 3,Barca 1.

Lazima wapigwe wale, si unaona hata humu wamepotea ingekuwa mechi ya La liga wanacheza na Deportivo la Coruña ungeona makelele yake. lakini UCL semi-final wakina Aleyn sijui wamejificha wapi!
 
Last edited by a moderator:
Leo ni burudani tu, halafu kesho tucheke watu watakaposhikwa, haha.
Hahaha, kesho ingewezekana hata wote wapoteze yaani. Kuna jamaa mmoja nadhani bado yupo goal(anti-Madrid).com anaitwa Clark Whitney, handle yake Twitter ni MrBundesliga. Huyo jamaa timu za BuLi zikichapwa huwa ana-catch feelings hatari. Nataka wapigwe ili awe trolled, ila pia hao jamaa wengine nao siwapendi vile vile. Sijui nitam-troll nani sasa
 
Toni Kroos | Real Madrid | Skills/Assists/Passes 2014-2015 | HD

sihitaji video clips kutambua uwezo kwamba pirlo ni nuksi kuliko kroos ila wewe unahitaji clips kuniaminisha
 
Last edited by a moderator:
Sio makosa yake, ni Premier-face, so ligi zingine kwao hawazifuatilii, 'hazina ushindani'.

hivi hiyo ligi yenu kila weekend kuna magoli mengi kama ligi ya nba ndio mnaiona nuksi ?
 
Lazima wapigwe wale, si unaona hata humu wamepotea ingekuwa mechi ya La liga wanacheza na Deportivo la Coruña ungeona makelele yake. lakini UCL semi-final wakina Aleyn sijui wamejificha wapi!
Haha kesho utacheka sana, Lucho akizidiwaga hata basi anapaki yule. Valencia walimkimbiza balaa kwake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom