Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
kama pirlo atakaa kroos atalala na timu yake
Toni Kroos | Real Madrid | Skills/Assists/Passes 2014-2015 | HD
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama pirlo atakaa kroos atalala na timu yake
ah wapi! Wale hawatuambii chochote. Tumewazidi kila kitu kiufundi, ki-historia, ki-fedha, kila kitu.
Miye yangu macho na masikio ntakuwa nikiwatazama nikisindikiza na papcorn...
Sio makosa yake, ni Premier-face, so ligi zingine kwao hawazifuatilii, 'hazina ushindani'.
Leo uta-enjoy mpira wa maana sana, ukiuvaa u-neutral. Marcelo, disco la Isco, stunners za James, hata riadha za Cristiano na Bale.
pirlo vs kroos ni mbingu na ardhi
Hahaha tukichemka nakuja kumeza maneno yangu na kwenda kifungoni kwa hiari immediately, but kwa Real Madrid 'if' is never an option.I'm always neutral mkifanya vizuri nitakuja kuwapongeza mkichemsha sitaacha kuja kuwatupia moja ya kiutani....
I'm always neutral mkifanya vizuri nitakuja kuwapongeza mkichemsha sitaacha kuja kuwatupia moja ya kiutani....
Yup yup brother, mara ya mwisho nilikuwa this confident ilikuwa bado Galactico 1.1 era. Wale nilikuwa naombea tufungwe wa kwanza ile nione soka.
Nimeoteshwa usiku wa leo Bayern 3,Barca 1.Leo ni burudani tu, halafu kesho tucheke watu watakaposhikwa, haha.
Nimeoteshwa usiku wa leo Bayern 3,Barca 1.
Hahaha, kesho ingewezekana hata wote wapoteze yaani. Kuna jamaa mmoja nadhani bado yupo goal(anti-Madrid).com anaitwa Clark Whitney, handle yake Twitter ni MrBundesliga. Huyo jamaa timu za BuLi zikichapwa huwa ana-catch feelings hatari. Nataka wapigwe ili awe trolled, ila pia hao jamaa wengine nao siwapendi vile vile. Sijui nitam-troll nani sasaLeo ni burudani tu, halafu kesho tucheke watu watakaposhikwa, haha.
Toni Kroos | Real Madrid | Skills/Assists/Passes 2014-2015 | HD
Sio makosa yake, ni Premier-face, so ligi zingine kwao hawazifuatilii, 'hazina ushindani'.
Haha kesho utacheka sana, Lucho akizidiwaga hata basi anapaki yule. Valencia walimkimbiza balaa kwake.Lazima wapigwe wale, si unaona hata humu wamepotea ingekuwa mechi ya La liga wanacheza na Deportivo la Coruña ungeona makelele yake. lakini UCL semi-final wakina Aleyn sijui wamejificha wapi!
hivi hiyo ligi yenu kila weekend kuna magoli mengi kama ligi ya nba ndio mnaiona nuksi ?