Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

kosa la madrid wameiga mpira wa slow wa juve. possesion 50/50.
 
Teh teh teh...kelele nyingiiii mmeishia kuchapwa...

Na bado ngoja tukiwafuata huko kwenu ni kibano kingine tena...

Shwaini kabisa hawa Madrid
 
Teh teh teh...kelele nyingiiii mmeishia kuchapwa...

Na bado ngoja tukiwafuata huko kwenu ni kibano kingine tena...

Shwaini kabisa hawa Madrid

Hope Pogba atakuwepo dimbani.
 
bale kapiga mpira mara 17 hadi anatolewa. aangalie anawezaondolewa na kocha wake wakikosa uefa na bbva
 
Teh teh teh...kelele nyingiiii mmeishia kuchapwa...

Na bado ngoja tukiwafuata huko kwenu ni kibano kingine tena...

Shwaini kabisa hawa Madrid

Hawatoki hawa Juventus wakifika Santiago bernabeu
 
tatizo kubwa la wapenzi wengi wa Madrid hapa JF ni armchair supporters,alaafu wakishasoma vi tabloid vya bure hujifanya wanajua mpira na wote naona wamekimbia-wasubiri kesho waone soccer inavyopigwa
 
Back
Top Bottom