Hivi Bale yupo uwanjani? or he has gone missing
Bale ndo nani, ndo yule mchezaji ghali zaidi duniani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Bale yupo uwanjani? or he has gone missing
sio bale, ramos ndio kapotea leo na merceloBale katuzingua sana sikuona umuhimu wake wa kuwa dimbani
Duh! Kuna watu wana viwembe mikononi nini......
Bale kapotea kbs bora wamtoe
Jamani leo Swala amekula simba hajala?????
Jamani leo Swala amekula simba hajala?????
Nadhani Ancelot asifanye sub yoyote.
Teh teh teh...kelele nyingiiii mmeishia kuchapwa...
Na bado ngoja tukiwafuata huko kwenu ni kibano kingine tena...
Shwaini kabisa hawa Madrid
toka wastuke kwamba Bale ni white elephant wame move goalposts na kudai Neymar ndio mchezaji ghali zaidiBale ndo nani, ndo yule mchezaji ghali zaidi duniani?
Hope Pogba atakuwepo dimbani.
Teh teh teh...kelele nyingiiii mmeishia kuchapwa...
Na bado ngoja tukiwafuata huko kwenu ni kibano kingine tena...
Shwaini kabisa hawa Madrid
Truth be told, Juve wamecheza zaidi ya nilivyowapa credits. The better team thus far. My word on the ban still stands.
Haters gonna hate lakini huo ndio ukweli. Bora EPL ianze warudi Uingereza wakashangilie timu zao kuliko huku wanajitafutia maumivu bure. ‪#‎JuntosAPorLaUndecima‬ ‪#‎RealMadrid‬ ‪#‎HalaMadrid‬
Hawatoki hawa Juventus wakifika Santiago bernabeu