Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

Always you don't talk about football, ushabiki wako uko kisimba na Yanga zaidi, uliwahi kuandika humu uipendi Barca unampanda Messi. Wewe hukuwa na ubishi na mimi, rejea kwenye comments zangu huko nyuma nimemwelezea Pirlo.

Ha ha ha ha ha hivi ronaldo yule ndio bora zaidi ya Messi ???
lile goli hata drogba huyu anashinda ant-messi njoo uangalie nou camp Messi anavyocheza ni best hata timu yake itakapofungwa
Leo namuangalia Messi akiwa anachezewa rafu bila kulalamika
 
Leo namuangalia Messi akiwa anachezewa rafu bila KULALAMIKA

hapa umenifurahisha, kiukweli uzuri wa mchezaji asiwe kazi yake kulalamika tu, hili linamuhusu ronaldo anapenda kulalamika sana, mpaka gemu ya juzi wameshinda wao ila pia alionesha kukereka kwa kua goli hakuachiwa atie yeye, sio type nzuri ya wachezaji ninaowapenda. team messi tunamsifu kwa mengi tu
 
Ha ha ha ha ha hivi ronaldo yule ndio bora zaidi ya Messi ???
lile goli hata drogba huyu anashinda ant-messi njoo uangalie nou camp Messi anavyocheza ni best hata timu yake itakapofungwa
Leo namuangalia Messi akiwa anachezewa rafu bila kulalamika

Usinilishe maneno, mimi ni Real Madrid supporter na always ningefurahi kuona my rivals wanacheza vibaya kupoteza mechi muhimu kama hizi, na hiyo sio sababu ya kuniita mimi anti-Messi or anti-Pirlo.

Wewe ndio anti-Ronaldo, kwasababu unamuingiza huyu jamaa kwenye arguements zako zote. Hii ni biff kati ya Ronaldo na wewe, usinihusishe mimi, lakini kwa mtazamo tu at the end of the day wewe ndio loser, kwasababu kukaa nyuma ya computer saa zote kuonyesha chuki kwa mtu ambae anapiga pesa nyingi na kila wiki anatupia magoli inaonyesha jinsi gani uko desperate.
 
mapovu ya nini wewe ?
huyu ndio ronaldo ndio kila siku unasema ni mkali kuliko Messi hawezi hata kudrible kuwapita wachezaji wenye akili zao ?
hebu jifikirie tena
Ronaldo simchukii ila inapokuja swala la ronaldo na Messi
mashabiki wa ronaldo wanamkuza sana ronaldo anakua ovarrated nikimuangalia uwanjani uwezo wake kama chicharito avizie afunge sio kama messi
 
Unanilisha maneno tena, the Ronaldo Messi league ni kwa cheap football fans kama wewe, mimi siwezi kuingia kwenye argument isiyo na solution. Mpira wa kuvizia wa Ronaldo kama unavyotaka wewe, ndio uliomfanya achukue Bollon d'OR mara zote zile, na sisi ndio UCL defending champion.
You can't be a sporstman kwa kuonyesha chuki, na ubishani wa aina yako ni very annoying. Don't quoete me with Ronaldo Messi argument issue kwasababu hilo swala ulishalianzishia threads kama kumi hivi lakini hujawahi kuniona mimi kuchangia.
 
toka bwana wee usijifanye mjuaji sana wewe ndio ulianza kuniquote halafu unipangie cha kuandika kama sio ujinga ni nini ???
kila siku ubishani wako wa kijinga haya huyo best passer jana kafanya nini kumlinganisha na pirlo ?
una ugonjwa wa kupenda vibovu badala ya vizuri
 
Sikupangii cha kuandika, lakini ukiniambia Ronaldo Messi league wakati siko huko haileti maana. Mi siwezi kubishana mpaka kufa kwasababu hiyo issue haina mwisho. Best passer jana ni mmoja ya wachezaji wa Real Madrid waliocheza vizuri, lakini perfomance ya team in general ilikuwa si ya kuridhisha. Kufungwa tena ukizingatia wamebaki the best 4 ni part of the competition. Always there's only 1 winner, lakini bado hatujatolewa na kitu chochote kinawezekana. Sasa wewe sijui unataka nini, au hasira za Chelsie kuchukua ubingwa unakuja kuzitolea huku?
 
wewe msimu huu sitoki kapa nipo fainali fa wewe sijui unachukua kombe gani ?
mipasi bila magoli ni ujinga kama unabisha waulize man u
 
Mechi iko mbali sana, una wiki nne za kuchonga humu, hata hivyo usiwadharau Aston Villa ukajipa uhakika. I don't have anything wrong with Arsenal fans wa humu, nawaheshimu sana watu kama BAK hana maneno ya hovyo kama wale Liverpool, lakini watu kama wewe utanifanya niwabanie.

Kuhusu mimi bado nipo kwenye mbio za la liga na Champion league. Real Madrid inapambana mpaka ultimo momento.‪#‎HalaMadrid‬‪#‎RealMadrid‬
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Tatizo unafukuza upepo
yaani uwe bongo kisha uwabanie wazungu ha ha ha ha ha
 
leo ndo ile siku ya madrid kuaga kwao kama alivoaga jana bayern
 
Wadau wa soka, nifahamisheni kuhusu huyu mchezaji wa RM JAMES RODRIGUEZ kwanini wakati wa matamshi wanamwita HAMES badala ya JAMES!
 
Back
Top Bottom