Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Seriously?
 
Kwa sisi wengine hasa wa huku bongo lazima ukonde...
 
Umeanza na appeal to nature logical fallacy.

Magonjwa ni nature, ni kitu kinachotokea naturally, lakini hilo halimaanishi tusijikinge na magonjwa.

Wewe umeanza kujenga hoja kwamba magonjwa ni nature kwa hiyo tukubali tu magonjwa, na kuna watu wengi wanatajirika kwa kuuza chakula kibaya kinachosababisha magonjwa.

Ujinga mtupu.
 
Maisha huwaga hayataki hivyo unavyo taka wewe.. Kuongelea kuhusu maisha ya watu wengine ni starehe ya nafsi. Haina tofauti na ngono na pombe. Huwezi mzuia masikini asinywe pombe au asisex kwa sababu eti Hana hela. Hiyo haipo..
 
Magonjwa yanasimama kwenye bad side of nature.. Gossip ni starehe. Inastarehesha nafsi ya anae fanya gossip. So stands in the good side of nature.. Gossip ni hitaji la asili na magonjwa ni tatizo la asili. Two different things though all are about the same thing
 
Gossip ni starehe kwa wajinga.

Simple minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.

You are a simpleton.
 
Hapa tunaongea tu kama burudani, hata hao wanaosema free Jux they are doing it for fun, hakuna mtu mwenye nia wala uwezo wa kumkomboa mtu ambaye hajasema anataka kukombolewa
 
Hapa tunaongea tu kama burudani, hata hao wanaosema free Jux they are doing it for fun, hakuna mtu mwenye nia wala uwezo wa kumkomboa mtu ambaye hajasema anataka kukombolewa
Sawa,

Wewe unaweza kuona "for fun" lakini deep down hata kwenye subconscious mind huko kuna saikolojia fulani ya kukosa empathy, kuna saikolojia fulani ya sadism, kuna saikolojia fulani ya umasikini. Kuna saikolojia fulani ya kushindwa kushika hamsini zako. Kuna saikolojia fulani hata yavku oroject failures zako mwenyewe kwa Jux. Kuna saikolojia filani ya hata kutamani maisha ya Jux na kumhasidi kwa wivu tu?

Kwanza hii ni basically kum cyber bully Jux. For fun. Ni kitu kibaya sana.

Hivi hamjafikiria kuwa haya maneno ambayo nyie mnaona for fun yanaweza kuleta mpasuko wa kweli katika ndoa ya Jux?

Au mmefikiria, ila hamjali tu?

Hamuelewi kwamba kwa nyie kujifurahisha kwenu kwa muda tu, kama Jux na mkewe na familia zao hawako makini hili jambo linaweza kuvunja ndoa kabisa kwa sababu mnachofanya kimsingi ni cyberbullying kwa Jux na familia yake?

Umeshawahi kuingiliwa katika ndoa au mahusiano yako na watu maelfu kwa maelfu usiowajua, mtandaoni wanakusakama na kukuongelea mambo yako ya ndani kama wanakujua wakati hawakujui?

Ushawahi kufikiria mtu anayepitia hali hiyo, tena akiwa anaishi ugenini anakuwaje?

Unajua Jux ana psychological resilience gani? Anapitia hali gani na mke wake kutokana na hicho kitu ambacho wewe unakifanya "for fun"?

Unajua kuwa Jux is not your toy to play with "for fun", ni mtu ana maisha yake na feelings zake?
 
Bwana wee ndoa ivunjike kisa maaneno ya watu? Sisi tunasema amekonda kwa sababu anateswa ila mwenyewe anasema huo mwili ameutafuta mwenyewe kwa sababu anapenda kuwa hivyo...huoni kuwa tuko kwenye dunia mbili tofauti? Maneno ya watu yatakuumiza kama wewe mwenyewe unateswa na hicho kinachoendelea.
 
Kama anateswa au kautafuta mwenyewe haiwahusu.

Ila kwa sababu nyie mnataka umbea tu, mnalazimisha iwahusu.
 
Kama anateswa au kautafuta mwenyewe haiwahusu.

Ila kwa sababu nyie mnataka umbea tu, mnalazimisha iwahusu.
Hata sisi tunajua haituhusu na Jux mwenyewe anajua haituhusu na hivyo hawezi kupata shida na umbea tunaopiga Jf. Umesoma lakini description ya Celebrities forum? Hili jukwaa limewekwa kwaajili ya kuongelea watu! Sio ndugu zetu wala members wa Jamiiforums...watu maarufu
 
Hujui Jux ana mental state gani.

Umbea hujakatazwa kupiga, ila ukweli nawaambieni pia na mimi sijakatazwa kusema ukweli.

Nyie kaeni kumuongelea Jux mwenzenu anatafuta michongo.

Halafu mtalalamika kwa nini nyie masikini, kwa nini hamna maendeleo.

Wakati muda wa kutafuta michongo mnamjadili Jux.

Jux mwenyewe hata hawajui kama mpo sayari hii.
 
Hapo uliposema hatujakatazwa kupiga umbea umemaliza kila kitu 🀣 🀣 🀣 hebu tumalize hili sasa. Ukishakuwa celebrity unatakiwa ukubali mazuri na mabaya yatokanayo na umaarufu wako ndio maana sio kila mtu anaweza
 
Hapo uliposema hatujakatazwa kupiga umbea umemaliza kila kitu 🀣 🀣 🀣 hebu tumalize hili sasa. Ukishakuwa celebrity unatakiwa ukubali mazuri na mabaya yatokanayo na umaarufu wako ndio maana sio kila mtu anaweza
Ni ujinga wa kijamii tu unaowafanya mjione mna haki ya kumuingilia mtu katika maisha yake binafsi kwa stories za kuungaunga kwa sababu yeye ni celebrity.

Hii inaonesha maisha yenu yako empty kiasi gani mpaka mnamshambulia mtu asiyewahusu kwa sababu ni celebrity tu.

You don't have a life, so you end up obsessively watching someone else's life.

Secretly you wish you could live that life.

But you can't.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…