Jux ni msanii ambaye yuko underrated ila ana balaa sana

Jux ni msanii ambaye yuko underrated ila ana balaa sana

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
7,683
Reaction score
15,128
Habari wakuu.

Baada ya pilika za wiki nzima na sikukuu hatimae wikiend imeanza au inaendelea panapo majaaliwa mpaka J3.

Nipo room hapa nikaona nisikilize muziki,nikachukua flash ya dogo ebwana kuweka nimekuta play list ya Msanii Jux dah nimenyoosha mikono hasa hii ngoma yake mpya aliyotoa mwezi mmoja uliopita inaitwa NISIULIZWE. Huyu JUX ni msanii mkali sana ila naona apewi ile heshima au hype kama wengine labda pengine kutokana na mziki anaofanya.

Hapa chini ni baadhi ya ngoma zake kali huwezi peleka mbele.

SISIKII
WIVU
LOOKING FOR YOU
NISIULIZWE.
NDHIBITI
IN CASE YOU DONT KNOW
NITASUBIRI
UTANIUA
ENJOY
NIKUITE NANI

Na nyingine nyingi ,unaweza ongeza zingine tukasikiliza.
 
ni kweli, jux yuko blessed sana, ukikaa nae sauti unayoisikia mkipiga story ndio utaisikia akiimba kwenye spika zako. UZURI WAKO na NITASUBURI are my killers.
Fundi sana huyu jamaa.
 
Hiyo ngoma inaitwa, nisiulizwe! alaf jamaa anajua mziki sema naona hapendi mambo ya kutrendi tu na kiki. Ila kama angeweka nguvu kwenye mziki, ni bonge la artists.
Huyu jamaa ni ana hatari hii Ngoma ingeimbwa kama Konde au Chibu au Yooh sijui kama mtaa ungekalika.
 
Back
Top Bottom