Jux ni msanii ambaye yuko underrated ila ana balaa sana

Jux ni msanii ambaye yuko underrated ila ana balaa sana

Kuwa na identity kwenye muziki sio mbaya maana kila mtu anapita chocho yake.. Hata Jux RnB ndio iliomtoa na alivyofanya collabo na G nako na Diamond kupitia amapiano ndio akapata mega hit songs kibongobongo kwa wakati huu.

Pia, Mbosso kwenye Yamoto ndio alikuwa wa pili kwa ukubwa baada ya Aslay ambaye alilibeba kundi. Hivyo, mbosso kufanya vizuri kwa back up ya wasafi sio mbaya na haiondoi ukubwa wake maana hata Aslay ukitoa ile peak yake, ni miaka mingi bado anapambana kurudi katika kilele lakini bado hajaweza

Mind you, Aslay ana back up ya seven Mosha na Rock star, mtu aliyeanza kuwasimamia Jide na TID na hata kumpeleka Kiba international.. Kwa hiyo mbosso kufanya vizuri ndani ya WCB usiichukulie kawaida maana hata WCB yenyewe inamtegemea kwenye utunzi na classic live performances

Nikirudi pale pale, huwezi kumlinganisha mbosso na Jux kwenye kipaji cha muziki. Japo wapo tofauti kwenye genre ila ukiwaweka stage moja, Jux hawezi muingia mbosso hata kidogo maana mbosso can sing
Acha kumpamba Mbosso, hivi ukikubali Jux ni zaidi ya Mbosso shida nn? Huyo Mbosso anaimba nn kwani?

Mchiriku? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yes, identity siyo mbaya. Ukiacha Aslay kutoka kwenye kundi lao waliobaki walistruggle kutafuta identity. Hii ni kwavile Aslay alishakua solo musician kabla ya bendi.

Upo sahihi kote. Lakini aya mbili za mwisho siyo kwa 100%.

Sasa swali ambalo hua nawauliza sana watu tukiwa tunaongelea muziki ni "Aina gani ya muziki unaweza ukauassociate na Mboso?" Hii ni kwakua aina zote alizoimba na zikafanya asikilizwe ni zile zimekuja na upepo.

Zikiondoka msanii atabaki na id tunayoijua.

Nisiwe muongo, live performance niliyowahi iona ya Mboso ni kama highlight tu haikua full. Kwa nilichoona bado muziki wetu live performers ambao sauti zao hazitabadilika wakiimba live top 4 randomly ni Ben Paul, Ommy Dimpoz, Ali Kiba, Barnaba.
Na Jux pia.
 
Mbosso anaimba baibuda au bongo flava hiyo hiyo [emoji16]

Lakini pia unatakiwa kujua kuwa chini ya label, pesa inaangaliwa zaidi lakini culture ya label. Mfano WCB, hawafanyi invention mpya ya muziki ila wanaimba muziki unaofanya vizuri sokoni maana ni rahisi kuuuza na kuingiza faida. Ndio maana kina Vanny na Harmo waliimbishwa sana kinaija japo harmo hakijamtoka kichwani [emoji16][emoji16] na sasa Zuchu na Mbosso wanaimbishwa Piano, pure business japo kwenye sanaa inakuwa ngumu kutoboa international kutokana na kukosa identity..

Live peformers nikiwatoa wa zamani kama banana, stara, jide, Tid, Q chief etc

Kwa sasa , live performers kwa upande wa uimbaji

Ruby
Aslay
Barnaba
Mbosso
Damian Soul
Yammi

Wengine nimesahau km wapo [emoji16][emoji16]


Huyu Peter Msechu na Ben pol kama vifungashio (japo hawa hawafanyi vizuri sana mainstream na ni wa kitambo kiasi)
Live perfoma? Mbosso?? Wee kweli una mahaba nae.
Khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nitakupa muda wangu na noti chochote unachotaka, !! Hako kamstar aisee nakaelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "fimbo" hii song nilikua naimbiwa na mtu, basi kichwaa kinajaaa balaaa.

Afu mtu anasema Jux hajui km Mbosso, si uchuro huu.
 
Acha kumpamba Mbosso, hivi ukikubali Jux ni zaidi ya Mbosso shida nn? Huyo Mbosso anaimba nn kwani?

Mchiriku? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hayo ni maoni na mtazamo wangu na pia Sijakukataza kumpamba Jux kama utaweza kutuonesha ukali wake.
 
Hayo ni maoni na mtazamo wangu na pia Sijakukataza kumpamba Jux kama utaweza kutuonesha ukali wake.
Ukali wake hauna haja ya mie kumpamba, unajipambanua wenyewee na hadi uzi huu umeletwaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio underated ila ni sababu saivi waimbaji na wasaniii wakali wengi sanaaa.

WATU sasa hivi wameanza elewa maana ya mziki mzuri
 
Habari wakuu.

Baada ya pilika za wiki nzima na sikukuu hatimae wikiend imeanza au inaendelea panapo majaaliwa mpaka J3.

Nipo room hapa nikaona nisikilize muziki,nikachukua flash ya dogo ebwana kuweka nimekuta play list ya Msanii Jux dah nimenyoosha mikono hasa hii ngoma yake mpya aliyotoa mwezi mmoja uliopita inaitwa NISIULIZWE. Huyu JUX ni msanii mkali sana ila naona apewi ile heshima au hype kama wengine labda pengine kutokana na mziki anaofanya.

Hapa chini ni baadhi ya ngoma zake kali huwezi peleka mbele.

SISIKII
WIVU
LOOKING FOR YOU
NISIULIZWE.
NDHIBITI
IN CASE YOU DONT KNOW
NITASUBIRI
UTANIUA
ENJOY
NIKUITE NANI

Na nyingine nyingi ,unaweza ongeza zingine tukasikiliza.
Nakazia hapa hasa ile UZURI ,UZURI
 
Jux ni kimuziki ni mdogo mno. Wimbo wa Shilole uitwao Paka la Baa ulihit kuliko nyimbo zote za Jux. Labda tuseme Jux ni underground anayeheshimika.
 
Jux ni kimuziki ni mdogo mno. Wimbo wa Shilole uitwao Paka la Baa ulihit kuliko nyimbo zote za Jux. Labda tuseme Jux ni underground anayeheshimika.
Jux ni underground? Nimelia sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom