Jux ni msanii ambaye yuko underrated ila ana balaa sana

Jux ni msanii ambaye yuko underrated ila ana balaa sana

Ila mtaani Mbosso anakubalika kuliko Jux,hivyo Top 5 Jux hayupo. Japo ukiniambia nichague Jux na Mbosso kwakweli nitashindea japo mziki wao tofauti.
Hapo bado unaweza kumuweka Mboso na Jux akakaa bado ni top five yani hata pakipinduliwa vipi bado ni top five
Mboso mgt imembeba japo sawa anajua ila Jux ni independent artist halafu anaonekana bado atakuwa kwenye game mda mrefu
 
Sawa fanya kama unamuweka mbosso kwenye 5 so unamtoa nani
 
Ila mtaani Mbosso anakubalika kuliko Jux,hivyo Top 5 Jux hayupo. Japo ukiniambia nichague Jux na Mbosso kwakweli nitashindea japo mziki wao tofauti.
Mbosso anatrend kwa sababu ameweza tu kuimba vitu vinavyopendwa na vijana wa kizazi cha leo yaani pombe na ngono vile vile lebo ya wasafi inampaisha lakini mimi binafsi sioni ukali wake. Ukiweka mbosso na jux mezani kura yangu naenda na jux, ingawa jux sio my favourite artist napenda tu baadhi ya nyimbo zake especially sisikii, nitasubiri na enjoy kuna ile shugga dad sio kali ila ina mzuka fulani hivi especially ukiwa na alcohol kadhaa kichwani
 
ni kweli, jux yuko blessed sana, ukikaa nae sauti unayoisikia mkipiga story ndio utaisikia akiimba kwenye spika zako. UZURI WAKO na NITASUBURI are my killers.
Kuna kachalii kanaitwa Derrick jux kama sikosei...huko Instagramuni..kanatembelea upepo wa kuwa carbon copy ya jux...

Maana wanafanana sana...kazi yake ni kufungua vifuniko vya asali vya kina dada huko ingramuni! Dogo Anawaweka!
 
Back
Top Bottom