Jux ni msanii ambaye yuko underrated ila ana balaa sana

Jux ni msanii ambaye yuko underrated ila ana balaa sana

As long as you know. Huu wimbo haipiti siku bila kuusikiliza
 
Jux alichomzidi mbosso ni experience kwenye muziki, RnB sound iliyobaki kwenye mainstream, kujibrand vizuri tu na fashion sense inayomfanya kuwa relevant uswazi hadi ushuani. ila kwenye uimbaji, utunzi na live performance. Hamkaribii mbosso hata kidogo

Sema mbosso kakaa kipwani pwani, hajawahi kuwa na mahusiano ya kumfanya atrend kama Jux lakini pia nguvu ya WCB nyuma yake inamfanya awe kwenye kimvuli cha Diamond na Zuchu "WASAFI" tofauti na jux kama independent artist. Ndio maana unamchukulia poa ila mbosso ni moja ya vipaji halisi & "drama free" vilivyobaki kwenye bongo flava
Huyo mbosso umeanza kumfananisha na jux mara baada ya kwenda wasafi.

Kwahyo usilaumu uwepo wa mbosso wasafi kwamba huenda angemzidi jux huo ni uongo.

Mbosso asingetua wasafi saivi tungekua tunamfananisha na kina Mirror au Chris wa maria na fadidad huko.
 
Kuwa na identity kwenye muziki sio mbaya maana kila mtu anapita chocho yake.. Hata Jux RnB ndio iliomtoa na alivyofanya collabo na G nako na Diamond kupitia amapiano ndio akapata mega hit songs kibongobongo kwa wakati huu.

Pia, Mbosso kwenye Yamoto ndio alikuwa wa pili kwa ukubwa baada ya Aslay ambaye alilibeba kundi. Hivyo, mbosso kufanya vizuri kwa back up ya wasafi sio mbaya na haiondoi ukubwa wake maana hata Aslay ukitoa ile peak yake, ni miaka mingi bado anapambana kurudi katika kilele lakini bado hajaweza

Mind you, Aslay ana back up ya seven Mosha na Rock star, mtu aliyeanza kuwasimamia Jide na TID na hata kumpeleka Kiba international.. Kwa hiyo mbosso kufanya vizuri ndani ya WCB usiichukulie kawaida maana hata WCB yenyewe inamtegemea kwenye utunzi na classic live performances

Nikirudi pale pale, huwezi kumlinganisha mbosso na Jux kwenye kipaji cha muziki. Japo wapo tofauti kwenye genre ila ukiwaweka stage moja, Jux hawezi muingia mbosso hata kidogo maana mbosso can sing
Mbosso hana uwezo wa kumfikia jux kivyovyote, iwe kuandika au kuimba Labda Fujo za jukwaani zinazofanya aondoke na kijiji cha wahuni na kuonekana ana fan base kubwa.

Ila jux akiingia booth wa kumfananisha nao ni kina Linex Sio mbosso mshedede.
 
Back
Top Bottom