Hapo bado unaweza kumuweka Mboso na Jux akakaa bado ni top five yani hata pakipinduliwa vipi bado ni top fiveIla mtaani Mbosso anakubalika kuliko Jux,hivyo Top 5 Jux hayupo. Japo ukiniambia nichague Jux na Mbosso kwakweli nitashindea japo mziki wao tofauti.
Geniusmasanii wakweli ni Mondi tuu
Sawa fanya kama unamuweka mbosso kwenye 5 so unamtoa naniHapo bado unaweza kumuweka Mboso na Jux akakaa bado ni top five yani hata pakipinduliwa vipi bado ni top five
Mboso mgt imembeba japo sawa anajua ila Jux ni independent artist halafu anaonekana bado atakuwa kwenye game mda mrefu
Hapo Sina wa kumtoa binafsi bado nitabaki na Jux ila Mbosso pia anakimbizaSawa fanya kama unamuweka mbosso kwenye 5 so unamtoa nani
Toa kibakuli wewe hakuna msanii paleHapo Sina wa kumtoa binafsi bado nitabaki na Jux ila Mbosso pia anakimbiza
Hapana amekuwa kwenye game kwa mda mrefu ukilinganisha na hao walio chini yake anakuwa juu kidogoToa kibakuli wewe hakuna msanii pale
mtoto wa mama mussa from mburahati areaUNAMJUA DOGO NIGA SIMELA KWANZA?,MTAFUTE HUYO DOGO KISHA NJOO NA MREJESHO WAKE
Wavuta kushabu mna Juana 🤣🤓mtoto wa mama mussa from mburahati area
ostazi uchebe mtamboniiiiiiii weka weka weka weka bahariaaaa
😂😂huwez kuelewa hizo ngoma we endelea kuskiliza mapambio ya kina lucky dube tuuWavuta kushabu mna Juana 🤣🤓
Kipaji kabisamtoto wa mama mussa from mburahati area
ostazi uchebe mtamboniiiiiiii weka weka weka weka bahariaaaa
Jux sema tu hana kiki ila kwakweli mziki wake hauchuji kabisa mpaka leo nasikiliza UZURI WAKO ,NITASUBIRI na zinginekama zimetoka jana.Jux alitoa moja ya album bora kabisa -The love album ni album bora sana kwa kwa muziki wa bongo
#tuko wangapiUNAMJUA DOGO NIGA SIMELA KWANZA?,MTAFUTE HUYO DOGO KISHA NJOO NA MREJESHO WAKE
Mbosso anatrend kwa sababu ameweza tu kuimba vitu vinavyopendwa na vijana wa kizazi cha leo yaani pombe na ngono vile vile lebo ya wasafi inampaisha lakini mimi binafsi sioni ukali wake. Ukiweka mbosso na jux mezani kura yangu naenda na jux, ingawa jux sio my favourite artist napenda tu baadhi ya nyimbo zake especially sisikii, nitasubiri na enjoy kuna ile shugga dad sio kali ila ina mzuka fulani hivi especially ukiwa na alcohol kadhaa kichwaniIla mtaani Mbosso anakubalika kuliko Jux,hivyo Top 5 Jux hayupo. Japo ukiniambia nichague Jux na Mbosso kwakweli nitashindea japo mziki wao tofauti.
Kuna kachalii kanaitwa Derrick jux kama sikosei...huko Instagramuni..kanatembelea upepo wa kuwa carbon copy ya jux...ni kweli, jux yuko blessed sana, ukikaa nae sauti unayoisikia mkipiga story ndio utaisikia akiimba kwenye spika zako. UZURI WAKO na NITASUBURI are my killers.
Wanawake wenyewe wajinga wajinga hawa wawekwe tu.Kuna kachalii kanaitwa Derrick jux kama sikosei...huko Instagramuni..kanatembelea upepo wa kuwa carbon copy ya jux...
Maana wanafanana sana...kazi yake ni kufungua vifuniko vya asali vya kina dada huko ingramuni! Dogo Anawaweka!