Jux ni msanii ambaye yuko underrated ila ana balaa sana

Acha kumpamba Mbosso, hivi ukikubali Jux ni zaidi ya Mbosso shida nn? Huyo Mbosso anaimba nn kwani?

Mchiriku? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na Jux pia.
 
Live perfoma? Mbosso?? Wee kweli una mahaba nae.
Khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nitakupa muda wangu na noti chochote unachotaka, !! Hako kamstar aisee nakaelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "fimbo" hii song nilikua naimbiwa na mtu, basi kichwaa kinajaaa balaaa.

Afu mtu anasema Jux hajui km Mbosso, si uchuro huu.
 
Acha kumpamba Mbosso, hivi ukikubali Jux ni zaidi ya Mbosso shida nn? Huyo Mbosso anaimba nn kwani?

Mchiriku? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hayo ni maoni na mtazamo wangu na pia Sijakukataza kumpamba Jux kama utaweza kutuonesha ukali wake.
 
Hayo ni maoni na mtazamo wangu na pia Sijakukataza kumpamba Jux kama utaweza kutuonesha ukali wake.
Ukali wake hauna haja ya mie kumpamba, unajipambanua wenyewee na hadi uzi huu umeletwaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio underated ila ni sababu saivi waimbaji na wasaniii wakali wengi sanaaa.

WATU sasa hivi wameanza elewa maana ya mziki mzuri
 
Nakazia hapa hasa ile UZURI ,UZURI
 
Jux ni kimuziki ni mdogo mno. Wimbo wa Shilole uitwao Paka la Baa ulihit kuliko nyimbo zote za Jux. Labda tuseme Jux ni underground anayeheshimika.
 
Jux ni kimuziki ni mdogo mno. Wimbo wa Shilole uitwao Paka la Baa ulihit kuliko nyimbo zote za Jux. Labda tuseme Jux ni underground anayeheshimika.
Jux ni underground? Nimelia sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…