Jux ni msanii ambaye yuko underrated ila ana balaa sana

As long as you know. Huu wimbo haipiti siku bila kuusikiliza
 
Huyo mbosso umeanza kumfananisha na jux mara baada ya kwenda wasafi.

Kwahyo usilaumu uwepo wa mbosso wasafi kwamba huenda angemzidi jux huo ni uongo.

Mbosso asingetua wasafi saivi tungekua tunamfananisha na kina Mirror au Chris wa maria na fadidad huko.
 
Mbosso hana uwezo wa kumfikia jux kivyovyote, iwe kuandika au kuimba Labda Fujo za jukwaani zinazofanya aondoke na kijiji cha wahuni na kuonekana ana fan base kubwa.

Ila jux akiingia booth wa kumfananisha nao ni kina Linex Sio mbosso mshedede.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…