Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

Nimegundua kitu kuhusu sababu ya viwango vya elimu ya Tanzania kuendelea kushuka.

Hicho chuo kipo jiji gani?
 
Nimegundua kitu kuhusu sababu ya viwango vya elimu ya Tanzania kuendelea kushuka.

Hicho chuo kipo jiji gani?

Kipo mjini bana,,, hii mada haihusiani na mambo ya elimu kupanda au kushuka nilishasema it was a stupid idea
 
11 khaaaa, ulikuwa unaandaa timu ya mpira nini?
 
Mkuu nipe list yako ya 2015 wamefika wangap?,,wazo la kijinga nimelipenda ntajaribu Na mm kwa ma X wa 2014 tu nione respond yao
 
Mkuu nipe list yako ya 2015 wamefika wangap?,,wazo la kijinga nimelipenda ntajaribu Na mm kwa ma X wa 2014 tu nione respond yao

sio wengi sana ni 4 tu official ,,,ukiachana na wale wa HIT AND RUN.
 
Wa4 Mwaka mzima? Kumbe ww mvivu sasa utashindwa kuishi Ilitrea
 
Hit and Run hahahahahaha ziko powa hizo afu huna time nao hata sura unaisahau

yaani kama jina "HIT and RUUUN " zinafvyowasadifu,,teh unasahau sura hata namba unaifuta kabisa....
 
Back
Top Bottom