Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

kazi gani kwanza,,,kwa sababu mm sisomei sociology
Watanzania bana...ndio maana kazi wanachukua wageni.
Umeambiwa tuma cv...... au cv yako haina ulichosomea?????
Halafu dharau za sociology wanafunzi nyi muache....maisha hayana kusomea sociology...ni kusoma kupambana na kutoka
 
kwa hiyo nitume cv ya 4m 4 na form 6? hapo nitapata kaz gani sasa?
 
Nilichogundua
Wasichana 11
Tufanye kwa kiwango kidogo umetumia gharama ya gest, chakula, outing kwa kiwango cha chini kwa kila mmoja 500000
Kwa wote 11 umeshatumia 5500000
Ungekuwa na kiwanja bunju chenye msingi
 
Nimegundua una akili sana mkuu, nami naorodhesha majina ya ma ex wangu natumia kaunta buku quire 4, nipo ukurasa wa 5... Namuomba Mungu litoshe mana kuongeza la pili sio mpango
 
Nilichogundua
Wasichana 11
Tufanye kwa kiwango kidogo umetumia gharama ya gest, chakula, outing kwa kiwango cha chini kwa kila mmoja 500000
Kwa wote 11 umeshatumia 5500000
Ungekuwa na kiwanja bunju chenye msingi

Laki tano!!!? Kwa mademu gani, hawa hawa au wakutoka mbinguni??
 
Back
Top Bottom