Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,210
- 6,774
- Thread starter
-
- #21
Nipo Zanzibar kuna Hotel moja huku napumzika ina chumba chini ya bahari. Huwa sipendi kelele so hiki chumba nlikilipia miaka mingi napohitaji anytime mapumziko nakuja huku na team yangu.Kwa sasa uko wapii Tajiriii?
Haya sasa majobless ajira nje nje. Mkawapepee nyati wakiwa wanakula, ila kabla ya kuingia kazini hakikisheni mnatubu dhambi zenu zote
๐tatizo nyati wanachokitumia ni zaidi ya bangi na sheeeshahhAiseeee... Ajira nje nje. Unakaa tu na kiusinga unawapepea nyati wakipata msosi. Saa moja una usd 1000 ukizisha kwa masaa kwa siku. Ukipiga kwa miezi 6. Aaargh ushakuwa milionea. Kazi nzuri na malipo mazuri.
Wanadai Tajiri anatumia mwandiko Wa LucasBora tajiri umerudi kutuburudisha matajiri wadogo wadogo kwako.
Story za akina Lucas Mwashambwa na wenzake akina ChoiceVariable na MamaSamia2025 zilikuwa kero kwetu.
Nilichoelewa ni kwamba unaishtua serikali kusimamia mbuga zetu kuhakikisha zinalindwa na kustawishwaSerengeti kuna ile Hotel ya 5 star nadhani mna ifahamu sitaki taja jina maana najua hapo Jamaa zangu watataka nao wakalale so itakuwa nime ipromote na haitakuwa fair kwa hotels nyingine.
Tulienda na Helkopta kuangalia wanyama. Kwa kweli nlitokwa na machozi. Niliona jinsi ambavyo Nyati,Pundamilia etc wanapata shida. Hawali kwa raha. Wanakula huku wana kazi ya kujifukuzia tsetsefly wasiwasumbue. So vijana nawaajiri wanakuwa wanawapepea tu wale kwa raha bila usumbufu.
Nliwaza sana, niliuliza kama wanaruhusu nifanye fumigation mbuga nzima maana kuna Makampuni makubwa Ulaya na Marekani yanapuliza viuatilifu kwa ndege au helkopta. Wale watu wa maliasili wakasema hapana hiyo haitaruhusiwa. Si sawa ki ecolojia.
Sasa hilo suala lilinipa shida akilini maana nikaona ndo maana kuna wanyama wamekonda maana hawana raha kabisa. Fikiria unakula huku unafukuza tsetseflies au unajikuna kupe.
Nimepata wazo. Nimeambiwa kuna madaktari wengi wa mifugo na walimu, wanasheria hapa Tanzania hawana kazi za maana. Mimi nataka nianzishe kampuni kuwapa ajira wawe wana kazi ya kupiga kupe na kupepea/kufukuza tsetseflies kwa hawa wanyama.
Kwa masaa matatu ntalipa usd 3,000 tu kwa kuanzia. Ili nione kama hilo suala lina tija ama sivyo tushauriane tu tusaidiaje hawa wanyama nao waishi kwa amani.
Lengo ni kuwa keep watu busy at the sametime wanasaidia wanyama hawa ambao naona ni kama wanatelekezwa nobody cares about them. Watahitajika vijana walio tayari hata ukiweza kwa saa 1 si mbaya usd 1000 kama utataka kuwasaidia swala,nyati,pundamilia etc unasema.
Lengo ni kuhakikisha hawa wanyama wanastawi na kuishi kwa raha mustarehe.
Nilivyoona jina hata kusoma nimeachia ya 1Serengeti kuna ile Hotel ya 5 star nadhani mna ifahamu sitaki taja jina maana najua hapo Jamaa zangu watataka nao wakalale so itakuwa nime ipromote na haitakuwa fair kwa hotels nyingine.
Tulienda na Helkopta kuangalia wanyama. Kwa kweli nlitokwa na machozi. Niliona jinsi ambavyo Nyati,Pundamilia etc wanapata shida. Hawali kwa raha. Wanakula huku wana kazi ya kujifukuzia tsetsefly wasiwasumbue. So vijana nawaajiri wanakuwa wanawapepea tu wale kwa raha bila usumbufu.
Nliwaza sana, niliuliza kama wanaruhusu nifanye fumigation mbuga nzima maana kuna Makampuni makubwa Ulaya na Marekani yanapuliza viuatilifu kwa ndege au helkopta. Wale watu wa maliasili wakasema hapana hiyo haitaruhusiwa. Si sawa ki ecolojia.
Sasa hilo suala lilinipa shida akilini maana nikaona ndo maana kuna wanyama wamekonda maana hawana raha kabisa. Fikiria unakula huku unafukuza tsetseflies au unajikuna kupe.
Nimepata wazo. Nimeambiwa kuna madaktari wengi wa mifugo na walimu, wanasheria hapa Tanzania hawana kazi za maana. Mimi nataka nianzishe kampuni kuwapa ajira wawe wana kazi ya kupiga kupe na kupepea/kufukuza tsetseflies kwa hawa wanyama.
Kwa masaa matatu ntalipa usd 3,000 tu kwa kuanzia. Ili nione kama hilo suala lina tija ama sivyo tushauriane tu tusaidiaje hawa wanyama nao waishi kwa amani.
Lengo ni kuwa keep watu busy at the sametime wanasaidia wanyama hawa ambao naona ni kama wanatelekezwa nobody cares about them. Watahitajika vijana walio tayari hata ukiweza kwa saa 1 si mbaya usd 1000 kama utataka kuwasaidia swala,nyati,pundamilia etc unasema.
Lengo ni kuhakikisha hawa wanyama wanastawi na kuishi kwa raha mustarehe.
Mkuu hi kazi mi nimafanya sana pale udom walikua wananiita mr cleaner..Mwanangu Poor Brain hatimaye tumepata Kazi ya kwenda kuua kupe kwa pundamilia ๐
Hii ya kubakwa Mbona kama inasikitisha sana mkuu ๐Mkuu hi kazi mi nimafanya sana pale udom walikua wananiita mr cleaner..
Mpaka wale ma warden walinijua wakawa wananipa sapport aisee ile kazi acha.
Kuna kipindi niliitwa room ya demu wangu daah alishangaa kuniona ni mimi maana alikua ajui kama mimi ndo mr cleaner
Ile moment acha tuu.. kuna siku nakumbuka nilitaka nibakwe na mdada bonge la shangazi...
Sijawahi kuisema ila ndo hv mkuu maana alisema hanipi pesa yangu ila tulipane kiaina nyingine na ukichek room nipo mi ja yeye tuuHii ya kubakwa Mbona kama inasikitisha sana mkuu ๐
Duh mm nisingekubali aniharibie uvulana Wangu, kwahy ikawajeSijawahi kuisema ila ndo hv mkuu maana alisema hanipi pesa yangu ila tulipane kiaina nyingine na ukichek room nipo mi ja yeye tuu
Machozi yalikua yananilenga hapo kimoyo.moyo nasema akisogea tuu nampulizia hii dawaa..Duh mm nisingekubali aniharibie uvulana Wangu, kwahy ikawaje
Ah Sasa mm huwez amini nimepitia mengi sana zaidi ya hayo ila mpaka sasa hakuna mwanamke yeyote aliyewahi kuniharibia uvulana Wangu, namsubir mke wangu mtarajiwa ndo awe mwanamke wangu wa kwanzaMachozi yalikua yananilenga hapo kimoyo.moyo nasema akisogea tuu nampulizia hii dawaa..
Ila mkuu askwambie mtu mwnamke akikuamulia aaaah uchomoi na wewe ulivyo mwembamba hvo ahahahhaha
Nafikiri Ruaha ni zaidi. Wanafata hadi gari, inabidi mfunge vioo.Lakini tajiri tsetseflies wapo wengi Mikumi kuliko Serengeti kama sikosei๐๐. Hata hivyo umejitahidi kuwasogelea pundamilia na nyumbu mpaka ukaona wanavyosumbuliwa. Pole sana naona ulipata some shocking trauma maana matajiri wengi wapo na huruma sana kwa wanyama.
Anhaa ๐ sawaa TajiriNlikuwa na meetings Russia, Usa, Uk, Canada, Egypt, China, SA,Dubai,Switz,Norway na maeneo mengine Ulimwenguni kushare mawazo na maprofesa mbalimbali wakubwa na watu wenye akili.